Juliani – Kama Si Sisi Lyrics


Verse 1

ni ka wanapiga picha ya ID
hawa-smile
ni kubaya a-i
wanacheza bano na macadamia nuts
alafu wanalia njaa
ignorance
walitucheka
eti ni ka 
tumechanganyikiwa ka pudding, upuzi
mazuri haitoki kwangu
ka Nokia 3310
iwe na Bluetooth
darasa
nilikuwa nakaa back
kenye ime-change ni chaffeur
bado nakaa back… left
ukweli ni boring
boy mbona hubongi
angusha jiwe juu ya mkono tujue
nani first body
tume-choose kupuuza
opinion inatupunguza
kelele necessary ni ambulance
zingine hatusikii ni nuisance

Chorus
zitaendeshwa na nani ka si sisi
zitanunuliwa na nani ka si sisi
tutabadilishwa na nani ka si sisi
simaanishi mwengine ni wewe na wewe na mi-mi

wewe na wewe na mi-mi
wewe na wewe na mi-mi
nasema wewe na wewe na mi-mi
wewe na wewe na mi-mi

Verse 2
hatutaki ni kiatu si black
wanaidharau eti si works
tukiwa kwa streets tuna-beat backs
but the present ni kichana na una loss
wana-expect niwaombe fare
nisaidie na blue dude
nywele yako si refu ya ponytail
shuka matuta tu
waliniambia nikawajibu
si-settle for less men
na-dunk kwa rims ya success, nipite
hata bila height ya Scotty Pippen
nina mentality ya Rosa Parks
kwa bus
kwa kiti sitoki
ka si sisi sioni
relax
ka nywele imepakwa Dax
nini wewe

Chorus
zitaendeshwa na nani ka si sisi
zitanunuliwa na nani ka si sisi
tutabadilishwa na nani ka si sisi
simaanishi mwengine ni wewe na wewe na mi-mi

wewe na wewe na mi-mi
wewe na wewe na mi-mi
nasema wewe na wewe na mi-mi
wewe na wewe na mi-mi

Verse 3
siachi
mpaka nchi inipatie number plates za red
siachi
mpaka sheng iwe international language
nasema siachi
mpaka hell iwe vacant, highway ya heaven
kuwe na jam ama
hauna position
education haiku-make less
nasisitiza growth
hii si composition nina-rhyme mwisho wa sentence
nijibu boss
kuku ina mabawa ka mwewe
mbona inashinda chini na mawe
siogopi hell
naogopa kufika heaven
sijakamua kenye Mola alitarajia
hii dunia
kutegemea mali ni ka kuteka maji ukitumia
gunia
visions za ku-swim kwa ocean
hii papa
imefugwa kwa aquarium purpose
si four walls za church
stadium status

Chorus
zitaendeshwa na nani ka si sisi
zitanunuliwa na nani ka si sisi
tutabadilishwa na nani ka si sisi
simaanishi mwengine ni wewe na wewe na mi-mi

wewe na wewe na mi-mi
wewe na wewe na mi-mi
nasema wewe na wewe na mi-mi
wewe na wewe na mi-mi

You cannot copy content of this page