Judy GG – Wanizingira Lyrics

Verse 1
Kama siwewe nigekuwa wapi yesu
Kama siwewe nigekuwa wapi yesu
Kama siwewe nigekuwa wapi yesu
Kama siwewe nigekuwa wapi yesu

Wee umekuwa tumaini na ngao yangu
Mwamba imara mlinzi wa imani yangu
Mwamba imara mlinzi wa imani yangu

Mmmm    yeeeaaah

Chorus
Wee wanizingira Wee wanidumisha
Wee wanizingira Wee wanidumisha
Wee wanizingira Wee wanidumisha

Mwamba na mlinzi wangu

ayayayayaya

Instrumental

Verse 2
Kama siwewe nigekuwa wapi yesu
Kama siwewe nigekuwa wapi yesu
Kama siwewe nigekuwa wapi yesu
Kama siwewe nigekuwa wapi yesu

Wewe ni baba tena mungu wangu
Nguvu yangu ngome ya wokovu wangu
Nguvu yangu ngome ya wokovu wangu
Mmmm  asante

Chorus
Wee wanizingira Wee wanidumisha
Wee wanizingira Wee wanidumisha
Wee wanizingira Wee wanidumisha

Mwamba na mlinzi wangu

ayayayayay

Instrumental

Verse 3

Wee umekuwa tumaini na ngao yangu
Mwamba imara mlinzi wa imani yangu
Mwamba imara mlinzi wa imani yangu
mmmmmm

Chorus

Wee wanizingira Wee wanidumisha
Wee wanizingira Wee wanidumisha
Wee wanizingira Wee wanidumisha

Mwamba na mlinzi wangu

ayayayayay

Short Instrumental

Chorus
Wee wanizingira
Wee wanidumisha
Wee wanidumisha
Wee wanizingira …….

Music fades outs

You cannot copy content of this page