Jua Cali – Sheng Lyrics

Ah!
Kanyeria,  Juacali ehhhhhh!

CHORUS LYRICS:
Kuna sheng ya Calif lakini si wote tunaelewana
Kuna sheng ya Buru lakini si wote tunaelewana
Kuna sheng ya Dandora lakini si wote tunaelewana
Kuna sheng ya Okongo lakini si wote tunaelewana

VERSE 1 LYRICS:
Wagondi siku hizi wanaitwa madingo
Kutoka chwa ni kutoka mbio
Nikikuitisha ing’ang’a nakuitisha soo moja
Nikikuambia nitege nakuambia we ngoja
Unashtuka nini wacha kujitisha
Kutia blunder nikuji ingiza
Nikiongea na wewe poa nakuskiza
Kupigwa na makarau ni kuvaliwa
Unajaribu kupiga simu nangos haina kitu
Chali yangu umechar hauna kitu
Baadaye tunakuona umebambwa kwa mbulu
Kushare kitu ni sulu bin sulu

CHORUS LYRICS:
Kuna sheng ya Easich lakini si wote tunaelewana
Kuna sheng ya Kibich lakini si wote tunaelewana
Kuna sheng ya Emba lakini si wote tunaelewana
Kuna sheng ya Marish lakini si wote tunaelewana

VERSE 2 LYRICS:
Manzi msuper anaitwa mtoto
Manzi wa udu nae ni ong’ong’o
Ukiachwa mataani umetokwa
Kuingiza ma winch mingi nikuomoka
Ukiitwa dwanzi nika umeitwa fala
Kuvurugwa nikulazimishwa kuhama
Kitu noma sana ni mambo mbaya
Kwanza ka zile chuja ulikua umevaa jana
Kuwa mpole mtu wangu ni sifa tu
Nakutoshanisha nakupima tu
Punguza caki mzee utafiatuka
Kitu inatee ni kitu inanuka

CHORUS LYRICS:
Kuna sheng ya Ongwaro lakini si wote tunaelewana
Kuna sheng ya Pango lakini si wote tunaelewana
Kuna sheng ya Salem lakini si wote tunaelewana
Kuna sheng ya Ungem lakini si wote tunaelewana

VERSE 3 LYRICS:
Mungu mtaani si umuita Sir Jah
Kutia ndani nikumanga
Kuenda shughli nikuenda mraa
Nikikutia zii mambo yako nimekata
Uko chini chali yangu umechapa
Juzi ulikua mtu wa nguvu mtu wa maana
Kwani haujui chali yangu hauna copy
Nikikwama mahali nika nakuambia sitoki

CHORUS LYRICS:
Kuna sheng ya Baha lakini si wote tunaelewana
Kuna sheng ya Jeri lakini si wote tunaelewana
Kuna sheng ya Bangla lakini si wote tunaelewana
Kuna sheng ya Korogocho lakini si wote tunaelewana
Kuna sheng ya Westi lakini si wote tunaelewana
Kuna sheng ya L.A lakini si wote tunaelewana
Kuna sheng ya Githurai lakini si wote tunaelewana
Kuna sheng ya Mada lakini si wotw tunaelewana
Ehhhh

Siezi sahau watu wangu wa Eldi
Eehhhh
Siezi sahau watu wangu wa Nakuru (watu wa nguvu)
Eehhhhh
Sheng ya Kisumu (ni noma sana)
Sheng ya Mombasa (mambo mbaya)
Sheng ya Thika (noma sana)
eehhh
Au sio (au ndio)
Ha ha ha ha…
Ehhh TUGENGE YAJAYO
Kanyeria, Juacali
GENGE Au sio…

You cannot copy content of this page