Jua Cali & Q-Tasi – Vile Naskia Lyrics

Chorus
Vile Mungu alikubali tuwe pamoja bado tuko pamoja

Tusitingike na siasa za wenye uivu naomba

Verse 1
Nimekua naget feeling ingine noma
Nimekua naskia roho yangu ikigonga
Nikikuona naskia fiti
Tukiongea jo siamini
Uliamua aje kunikubali
Mtoto wa kibabi na me mtu wa mtaani
Kiswahili ngumu lakini tunaelewana
Kizungu ngumu lakini tunaskizana
Pole pole tunazidi kupendana
Vita kwa wingi na bado tunasamehana
Nani angefikiria ingekua hivi
Baada ya miaka saba na bado ukona mimi
Wacha waonge watanyamaza wacha wabonge wata lala
Me nakuambia hawajui vile we unaskia na hawajui vile me naskia

Chorus
Vile Mungu alikubali tuwe pamoja bado tuko pamoja
Vile Mungu alikubali tuwe pamoja bado tuko pamoja

Tusitingike na siasa za wenye uivu naomba
Tusitingike na siasa za wenye uivu naomba

Verse 2
Ukiumwa na kichwa me ndio dawa
Tuliza usibebe vitu mzito sana
Leo ni siku yako wacha ikubambe
Wacha kila kitu ismame
Simu inalia ambia boy atulie
Alisharushwa atafute mwengine
Leo napitia mathako nimsalimie
Mbuyu baadaye nimskizie
Usisahau kuvaa zile viatu noma
Usisahau nitaku massage ukichoka
Usisahau huku nje kuna manyoka
Na usisahau wakitusumbua tunawatoka
Wacha waonge watanyamaza wacha wabonge watalala
Me nakuambia hawajui vile we unaskia na hawajui vile me naskia

Chorus
Vile Mungu alikubali tuwe pamoja bado tuko pamoja
Vile Mungu alikubali tuwe pamoja bado tuko pamoja

Tusitingike na siasa za wenye uivu naomba
Tusitingike na siasa za wenye uivu naomba

Verse 3
Shida zikikutafash we niambie
Ata ka ni noma aje usinyamazie
Ukifunga mdomo utashiba aje
Ukifunga maskio utaskia aje
Naona tuanze kuishi pamoja
Na watoi ka 15 wakikimbia kwa boma
Lakini kabla hio pete kwa mkono
Halafu nakupanguza machozi na mkono
We endelea kulia ukitaka
We endelea kunishikilia ukitaka
We endelea usione haya
Na we endelea ata ka wanatuangalia sana
Wacha waonge watanyamaza wacha wabonge watalala
Me nakuambia hawajui vile we unaskia na hawajui vile me naskia

Chorus
Vile Mungu alikubali tuwe pamoja bado tuko pamoja
Vile Mungu alikubali tuwe pamoja bado tuko pamoja

Tusitingike na siasa za wenye uivu naomba
Tusitingike na siasa za wenye uivu naomba

You cannot copy content of this page