Jua Cali – Nikipotea Tena Lyrics

Verse 1
Niaje jamaa siku mingi jo
Mko tu pia me niko
Nimekua tu na shughulikia maneno ingine hapa kidogo
Mnaendelea aje lakini
Naona ngoma za calif zinawararukia hivi
Na bado mtakubali
Jua imewaka eeh? Na bado itakua kali
Nilikuwa ocha kidogo sai nimerudi
Nimeanza kurecord ma ngoma mpya tu juzi
Pia Nilikuwa na shoot video yangu ya pili iko karibu kutoka
Ikitoka nyi ndio mtakua watu wa kwanza kuiona
Hii video ni yenu na wale watu wote wananipenda
Kwa hivyo nikipotea tena 
wee eka hii ngoma alafu utajua pali nimeenda nimeenda

Chorus
Nilikuwa nimeenda Busia
(kulikuaje?) Uko ni kuzuri

Nilikuwa nimeenda Machakos 
(kulikuaje?) uko ni kuzuri

Nilikuwa nimeenda Malindi 
(kulikuaje?) uko ni kuzuri

niliku nimeenda Kakamega
(na uko kulikuaje?) uko ni kuzuri

(Nonini)
lakini Jua Cali bana sijakuona siku mingi 
umpotelea wapi bana 
umpotelea chali yangu eeeh?

Verse 2
ni months kadhaa tu sijapotea hivyo sana
vile nimerudi nimejaribu kuskiza radio nimeshindwa
kwa sabu hakuna kutu yoyote ya maana
dj niroge na genge ama uzime hizo mashini zako
na usinijamishe zaidi nikona stress Nilikuwa nafkiria 
nikona manzi kumbe aliniacha kitambo
ati anasema nimependa ngoma zangu ata kumshinda
na guess anaendelea poa lakini naskia ameget chali yukona
noti ata kunishinda
lakini hio ainitishi hii ni Nairobi kuachwa na mamanzi tushazoea
na we beste unaendelea aje sababu pia we umpotea
bado hauja hama home aah! Utatoka tu usijali
thanx jo umenikumbusha ni noma siku hizi kutembea usiku mtaani
tuspochunga tutafungwa kujifanya wajuaji kwisha wacha tukae kwetu
strong jamaa hivyo hivyo ata ka wanatuchukia bado tutapromote mziki zetu
msishughulike nao kuna watu wengi sana wanatupenda
kwa hivyo nikipotea tena we eka ngoma alafu utajua pali nimeenda nimeenda

Chorus
Nilikuwa nimeenda El-D
(kulikuaje?) uko ni kuzuri

Nilikuwa nimeenda Meru 
(kulikuaje?) uko ni kuzuri

Nilikuwa nimeenda Kitale
(kulikuaje?) uko ni kuzuri

Nilikuwa nimeenda Nyeri
(na uko kulikuaje?) uko ni kuzuri

(Nonini)
eeeh! Jua Cali naona jo umetoa mashavu jo 
inakaa ilikubamba
kulikuaje jo uko 
ebu niambie 
niambie jo kulikuaje?

(Jua Cali)

kulikuwa kuzuri kila mtu uko amewasalimia 
wanauliza siku gani tutaenda uko kuwakilisha
nikawaambia tulieni tunakuja tunakuja
tukishamalizana kwanza na hawa ma promoter wamependa kutusumbua
mmetufinyilia sana tupatieni pesa yetu
kumbukeni hizo vitambi mnatoa ni sababu yetu 
hizo ma gari mnapeleka peleka ni sababu yetu
jo si kwa ubaya imebidi tu nimewaambia
jo si kwa ubaya ma artist wengi uku nje wanaumia
hii ngoma ni yao na wale watu wote wananipenda 
kwa hivyo nikipotea tena we eka hii ngoma alafu utajua pali nimeenda

Chorus
Nilikuwa nimeenda Kisumu
(kulikuaje?) uko ni kuzuri

Nilikuwa nimeenda Thika
(kulikuaje?) uko ni kuzuri

Nilikuwa nimeenda Coast
(kulikuaje?) uko kuzuri

Nilikuwa nimeenda Nakuru
(na uko kulikuaje?) uko ni kuzuri

Nilikuwa nimeenda Garissa
uko ni kuzuri

Nilikuwa nimeenda Mumias
uko ni kuzuri

Nilikuwa nimeenda Sultan Hamud
eeeeh uko ni kuzuri

na nilikuwa nimeenda Iraq
(kulikuaje?) aaah uko ni kubaya

na nimerudi Nairobi na uku ni kuzuri
genge genge

You cannot copy content of this page