Jua Cali, Mejja, Alahola – Twende Juu, Twende Chini Lyrics

Intro (Mejja)
huu ni Mejja
California

Verse 1 (Mejja)
nashindwa ningevako, ama niende kulipa
lakini ile sozani leo ni vako ya machupa
so tunaanza na jiki tumalize na kibubu
tuchafue matwada ugali nzima na kuku
leo ni lazima jamaa nivuke na mtu
miti imenishika imenipatia mautu
sa twende juu kwa… sa twende chini
kisha kwa simiti tumalizie kwa kiti
(Alahola)
twende juu, twende chini
twende kwa pande yote ni ka umevaa ma-bikini
ni kama mna-feel hii riddim hadi mnashindwa kwa kuwa fiti
hadi mnapotelea kwa maspinje za masystems
chunisha spinje, dunda na maflenge
mamasita mkije kwa disco ya mulembe
ako godi hadi anaanza kuona mataa za red ni blue
hadi anaanza kukatika jo lingala blues
nikiona msupa mi hujua mambo mzuka
mi hujua lazima jo leo kataniunda
haya, vuta marinda, mshipi achanisha
longi vurutanisha mavunda toanisha
maleso mnazo mnaeza jo jifunganisha
mali tight, komba mwenya mweza zitupanisha
mweza zitupanisha, chini chini chini chini makinika
Alahola!

Chorus (Jua Cali)
Twende juu, twende chini
Twende juu, twende chini

Verse 2 (Raudy Ru)
twende juu ka huwezi wee baki chini
naona umejibeba mpaka unapoteza balance
wee tulie mi sijali ka una manners
kile imenijazz ni vile umeniweka bumper
vile unakatika 
na vile unaniita na
mwili zetu zinaanza kushikana
twende home sabu leo nimejiami (jiami)
mtoto mzuri ako nami

wee twende juu turudi chini
mtaa ikitukatsia turudie mjini
tukachote wasupa wana-shake ka vibrator
juu ma-hater watapenda
ma-player watacheza
tukienda juu turudi chini
najua tutakua tume-sweat ka chupa ya beer baridi
muadhii nikiita
asubuhi ni kujificha
chota hawa mamanzi
juu tunadai hizo vitu wameficha huko chini

Chorus (Jua Cali)
Twende juu, twende chini
Twende juu, twende chini

Verse 3 (K-Solja)
kuna watoto wazuri huwaga inatubamba mzee
wale wameiva wana vitu mzee
wako juu ya ma-mini na mkuki inabaki inaendanga jo
juu chini
na vile wana-shine wananimaliza si siri
nishike mmoja twende place tukarukaruka ka tumbili
wee ni food wee ni food ya kuweka kwa kiuno
nikisikia zimepanda tunakata mauno
na vile kuna sa vile riddim huendanga ni

Outro (Linda)
kuna vako aina mbili
kuna juu na kuna chini
twauliza twende gani
Jua Cali gani kali

kuna vako aina mbili
kuna juu na kuna chini
twauliza twende gani
Jua Cali gani kali

twende juu twende chini
twende juu twende chini

You cannot copy content of this page