Jua Cali – Kiasi Lyrics

Intro
Genge jo inanibamba mbaya
Yani hii mziki yani 
Nikiiskia yani mi huskia sijui aje
Nika nipige nduru  
Watu!  
mnajua niaje
Kitu yoyote ntawaambia leo
Mtanijibu tu  

Verse 1
Maisha yangu tamu siku inanirarukia mbaya lakini nimeamua kuituliza 
Kabla pombe iniue itabidi nimeiwacha kabisa ama nianze kuikunywa 
Ona vile nywele zangu zimerefuka mpaka watu wananiambia zipunguze 
Walikua wanafkiria nimeacha ngoma sababu nimepotea ngoma ni mingi ngoma si 
Na zote ziko poa ka mchele imeekewa mnazi ama imegusiwa 
Ka hii ngoma inakubamba basi si ukatike na ka inakushika si uongeze sauti tenje 
Chukua chali yako chukua manzi yako mweke karibu zitoke nae 
Leo ata staki utupe mkono juu me nitingishie tu kichwa yako 
staki ukatike sana mpaka uvunje mguu we nisaidie tu kuimba 

Chorus
Kiasi e-ee 
ime ime imenibamba
Kiasi

Kiasi e-ee 
ime ime imenibamba
Kiasi

Kiasi e-ee 
ime ime imenibamba
Kiasi

Kiasi e-ee 
ime ime imenibamba

Verse 2
Hawa watu jana walinishika ikabidi nimewaachia yao 
Beste yangu akaanza kubishana nao akanyamazishwa na ma mbao 
Eeeh! chali yangu haujawai skia maneno ya hawa watu hawana huruma ata 
Juzi gari ya mafuta ikaanguka si waliangalia watu wakiiva 
Nyama choma kila mahali kachumbari poa lakini iongeze kitungu 
Wale wameponea wapeleke hosi watatibiwa na madaktari 
Hao wengine hawakuja job wanasema leo wajamaliziwa ile ganji yao 
Eeeh! uspotibiwa sai utaona tu maisha yako ikikuacha 
Lakini usiwe na wasiwasi itarudi tu baada ya ma dakika baada ya ma dakika 
Ebu niambie hio pande ingine ni ku poa ama ni kubaya hivi 
Kumetulia ama watu wanaungua ama watu wanaiva hivi 

Chorus
Kiasi e-ee 
ime ime imenibamba
Kiasi

Kiasi e-ee 
ime ime imenibamba
Kiasi

Kiasi e-ee 
ime ime imenibamba
Kiasi

Kiasi e-ee 
ime ime imenibamba

Verse 3
Naskia raha wasee wamechanuka siku hizi ngoma mbaya haziskizwi ata 
Pia naskia raha unaeza chinjia manzi siku hizi ata ka ni mzee wako 
Kabla niende kumwona lazima nipige nguo pasi nijipake mafuta 
Niakikishe ngotha safi na ka si mathao mfukoni nikue na ganji ata 
Leo lazima nijue ka ananipenda sana ama labda ananichukia 
Lazima nijue ka tazamisha yote ama taiekelea 
Akikata naachana nae naenda kutafuta mwengine msupa tu 
Na najua tapata Kiswahili yangu ni mambo yote hapa hakuna cha kugeiwa 
After hio tunakuta vitu kuta vitu mchana tunatulia 

Chorus
Kiasi e-ee 
ime ime imenibamba
Kiasi

Kiasi e-ee 
ime ime imenibamba
Kiasi

Kiasi e-ee 
ime ime imenibamba
Kiasi

Kiasi e-ee 
ime ime imenibamba

You cannot copy content of this page