Jua Cali ft. Pili Piliv- Kamata Dame Lyrics

Intro (Pili Pili)
Kamata dame 
Kamata dame 

Kamata dame 
Kamata dame 

Kamata dame 
Kamata dame 

Kamata dame 
Kamata dame 

Chorus (Pili Pili)
kila kila mtu na wake
na kama ahana shuari zake
nipe nipe mkono tuende danse
sista usinihande 

kila kila mtu na wake
na kama ahana shuari zake
nipe nipe mkono tuende danse
sista usinihande 

Verse 1 (Jua Cali)
Clubu imeshona vichakari
mamanzi wakatika vihatari
machali wasorora vihangari
vihangari hangari hang-hangari
Eh! dada niambie jina lako
nimenoki hizo njaro zako
naomba nafasi wakati wako
tukatike nawe pekeyako
mabeste wako wakule vako
chali yako akule vako
akileta diambo tumfanye majambos
afanywe mambo afanywe mambo

Chorus (Pili Pili)
kila kila mtu na wake
na kama ahana shuari zake
nipe nipe mkono tuende danse
sista usinihande 

kila kila mtu na wake
na kama ahana shuari zake
nipe nipe mkono tuende danse
sista usinihande 

Verse 2 (Jua Cali)
Mkono zangu zinaniwasha nashindwa tashika manzi mgani hapa ndani
Nikiona huyu namtaka
Nikiangalia huyu wa kwanza namwacha
Leo wako wengi kushinda machali kwa hivyo lazima nitoke na ka wa nne
Huku nikiwadanganya hakuna yule nampenda kushinda mwengine
Nipelekeni basi kwa dance floor nikazitoke
Na leo utakatika sana kwa hivyo eka phone yako poa isipotee
Chupa ifunike vizuri mtu asiikojolee
Haiya! Na hii club ni ajab mpaka dj yukona wake
Bar tender nae ampotea kitu ka two hours sijui ameenda wapi
Labda pia ye yuko mahali ana 

Kamata dame
Kamata dame

Kamata dame
Kamata dame

Chorus (Pili Pili)
kila kila mtu na wake
na kama ahana shuari zake
nipe nipe mkono tuende danse
sista usinihande 

kila kila mtu na wake
na kama ahana shuari zake
nipe nipe mkono tuende danse
sista usinihande 

Verse 3 (Jua Cali)
Chali yangu bana si ukona mtoto wako usiangalie wangu hivyo 
Hapa ni noma ukikaa mbaya unaeza rushwa kwa hivyo mshughulikie vilivyo
Ka ni bia anataka mnunulie 
Ka ni tot mbili anataka mchukulie
Haja gani kubania ganji
na mkirudi kejani atakupatia bila wasiwasi
vako yoyote mtajaribu ata ikue ngumu design gani
we mfrahishe kesho akuringie kwa beste zake
na yule msuper zaidi usimweke mchinjie kuipande 
na hii pande ingine tia bidii asahau chali yake
ukifanya hivyo utaona kila siku vile utakua 
u-na 
Kamata dame 
Geuza dame 
Kamata dame 
Geuza dame 

Chorus (Pili Pili)
kila kila mtu na wake
na kama ahana shuari zake
nipe nipe mkono tuende danse
sista usinihande 

kila kila mtu na wake
na kama ahana shuari zake
nipe nipe mkono tuende danse
sista usinihande 

You cannot copy content of this page