Jua cali ft Double L – Kazi ni kazi Lyrics

Chorus
sitaki kutoka kutafuta majani,
sitaki kutoka kutafuta majani,
sitaki kutoka kutafuta majani
sitaki kutoka kutafuta majani,
sitaki kutoka kutafuta majani,

Verse 1 (jua cali)
Kazi ni kazi, mi napenda yangu, kwanini haupendi yako,
Mavazi ,cladi, nimevaa zangu kwani haujavaa zako,
Watiaji, wasororaji niko kwa mambo yangu we shikilia yako,
Maji vinywaji nimekunywa, we hujapunguza kiu yako,
Tumbo inaitisha, kazi imekwisha, mwenye nyumba ndio huyo anabisha,
Nimeokoa floor tatu na figure, shingo ya mtu nashika,
Si kupenda kwangu ni hali ya maisha,
Mi sina nguvu ya kwenda kufanya kazi lakini niko na nguvu ya kuakilisha,
na kujifinya vyovyote kujenga itaiva,

Chorus
sitaki kutoka kutafuta majani,
sitaki kutoka kutafuta majani,
sitaki kutoka kutafuta majani,
sitaki kutoka kutafuta majani,
sitaki kutoka kutafuta majani,

Verse 2 (Double L)
Nipate mtaani ju ya miti na majani, kejani nafuga panya na mende kwenye kabati,
Au unipate jobless corner na kambi nikijenga  magorofha na kuhesabu magari,
Trailer ikianguka leta vibuyu vya maji, zijazwe na petrol ndio tuuzie mataxi,
Wataka kuniona na sina wakati, nitafute shilingi au nikugawie mali,
Basi acha nichape kazi, jioni  ni tulize tumbo na nyama kiasi,
Mavazi na marashi, maisha iwe lovely,
niowe binti wazazi waachiwe mahali,
nipe jembe nilime shambani, mimea iwalishe watoto wangu na nchi,
naeza fanya kazi kwa biddi lakini siwezi uzia biddi yangu chali,

Chorus
sitaki kutoka kutafuta majani,
sitaki kutoka kutafuta majani,
sitaki kutoka kutafuta majani,
sitaki kutoka kutafuta majani,

Verse 3(jua cali)
saa moja asubuhi nipate Jua kali, mabati ndio zangu mpaka masaa mbili,
saa tano maskuod  kwa mathree, mambo poa nah ii gari nitasukuma gari,
saa tano hivi napitie kwa ile mjengo, siku tatu tuko kwa roof, kazi hapa sio mchezo
saa saba nakula lunch ya nguvu,
saa nane tena niko kazi nguvu,
saa kumi najitoa, tena naingia job ingine, msishangae,
niko garage gari nashugulikia mpaka saa kumi na mbili,
saa moja napitia mtaani na set mathe yake chini ya maji,
saa tatu napigia supper, hata siogi,
ma saa nne kazi yangu ya waochi,

Chorus
sitaki kutoka kutafuta majani,
sitaki kutoka kutafuta majani,
sitaki kutoka kutafuta majani,
sitaki kutoka kutafuta majani,

You cannot copy content of this page