Jogg C – Nampenda Bwana Lyrics

Mikono Juu, mikono juu ya hewa,
Mikono juu, mikono juu ya hewa,
Au sio,

Chorus
Nampenda bwana, na si badilishi,
Ameniokoa, na si badilish,
Nampenda bwana, na si badilishi,
Ameniokoa, na si badilishi,

Verse 1
Just imagine nimekua kama water, kuflow, huku na kule ni kama ni meonja Jonny walker,
Lakini shadow bado, ukienda kwenye shule utapata njaro zangu ni za mbele,
Ni maskini, mi napenda kubarizi na kutunga nyimbo,
ndio sababu sina budi kuspread hiyo word, ndani ya world,
sasa wewe umesikia neno, usilete maneno , ili baadaye ukasage meno, ni kama siuzi meno,
sikiza word uwe change, hapana usiwa chase, alafu  uwe sawa bila kuwaza kuwazua,

Chorus
Nampenda bwana, na si badilishi,
Ameniokoa, na si badilish,
Nampenda bwana, na si badilishi,
Ameniokoa, na si badilishi,

Verse 2
Mimi ni mnoma igawa sijasoma, microphone nitaroga ,hadi yesu atatokea, gotea, urea,
Kama wewe fala utakutwa umelala basi nami nikimwona nitakamata masaa,
Mahali tutaenda ni njaro za forever, however,
Hapana cheza utatereza rekebisha maisha, sababu githaa zimeisha,
Kabla jehenamu hiwe lodgi ya maisha,
Kama siziwe za baada, atasema enter na tushow wase udiro,
Tupitie hiyo jo, odiro,
Tuende mbio mpaka kwa mama shiro,
Na tupitie hizo mandiro,
Tubaki tunasifu God, ndio
Na nyi munyongwe kiwaru,
Au sio, au sio, au sio,

Chorus
Nampenda bwana, na si badilishi,
Ameniokoa, na si badilish,
Nampenda bwana, na si badilishi,
Ameniokoa, na si badilishi,

Bridge
Nampenda bwana we, we-e, we-e
Nampenda bwana we,
Nampenda bwana we, we-e, we-e
Nampenda bwana we,

Mabeshte wangu waliniacha walipo sikia nimeokoka,
Na manzi wangu aka nihepa, aliposikia ni meokoka,

Chorus
Nampenda bwana, na si badilishi,
Ameniokoa, na si badilish,
Nampenda bwana, na si badilishi,
Ameniokoa, na si badilishi,

Nampenda bwana, na si badilishi,
Ameniokoa, na si badilish,
Nampenda bwana, na si badilishi,
Ameniokoa, na si badilishi,

You cannot copy content of this page