Joan Wairimu – Pambazuka Lyrics

Pambazuka na Yesu
Pambazuka na Yesu

Pambazuka na Yesu
Pambazuka na Yesu

tazama dada, ndege wa angani
hapandi wala kulima

tazama ndugu, ndege wa angani
hapandi wala kulima

lakini huwala na kunywa
kwa kuwa yuajuwa siri

lakini huwala na kunywa
kwa kuwa yuajuwa siri

Pambazuka na Yesu
Pambazuka na Yesu

Pambazuka na Yesu
Pambazuka na Yesu

mbona wapanda, walima 
tena walala na njaa

mbona wapanda, walima 
tena walala na njaa

na wewe ni wa maana
kuliko ndege wa angani

gundua siri ya ndege
pambazuka na Yesu

Pambazuka na Yesu
Pambazuka na Yesu

Pambazuka na Yesu
Pambazuka na Yesu

tega masikio, nikuelezee
siri ya ndege mwenzangu

sikiliza, nikuelezee
siri ya ndege mwenzangu

asubuhi na mapema
yuwa msifu bwana

kabla ya kula na kunywa
kabla ya kazi yeyote

Pambazuka na Yesu
Pambazuka na Yesu

Pambazuka na Yesu
Pambazuka na Yesu

asubuhi na mapema
kabla ya kazi yeyote

piga magoti, inua mikono
losa sauti yako

sifu bwana asubuhi
amka mbele ya ndege

sifu bwana asubuhi
kwa kuwa wewe wa muhimu

Pambazuka na Yesu
Pambazuka na Yesu

Pambazuka na Yesu
Pambazuka na Yesu

You cannot copy content of this page