Jimmy Gait – Muhadhara Lyrics

Intro
Het 
watu wangu
maisha ile yalinisonga
nikidhani natafuta suluhisho 
karibu nijipate kwa muhadhara
wacheni niwaambie story

Verse 1
nilipiga simu kwa rafiki yangu Peter
anipe pesa kama anaweza pata
pale Ambasada akaniambia atapita
nimsubiri atakuja akipata
nikisubiri gari nzuri ikapita
nikasonga kando halafu ikasimama
mama tajiri naye akalishuka
akaja kwangu kama anachekacheka
nikidhani ni shabiki wangu
mimi nikachekacheka
akaniambia
sasa Jimmy Gait 
mimi ni sweet mama
na nimekutafuta sana
ili ukufa kuimba ule wimbo wako
wa wakati wa kubarikiwa kwa evevt yangu
could you have some time 
twende kwa ofisi yangu tuongee
I can even give you some down payment
niliona Mungu amejubu maombi yangu
sikusitasita nikaingia kwa Prado yake

Chorus
tiga ni Ngai ningepatwa na muhadhara
tiga ni Ngai ningepatwa na muhadhara

tiga ni Ngai ningepatwa na muhadhara
tiga ni Ngai ningepatwa na muhadhara
tuwachunge
sweetie mama
tondu nima 
nomagutirie

tuwachunge
sweetie mama
tondu nima 
nomagutirie

Verse 2
tukaingia kwa ofisi ya kifahari
kanishika mkono kanikalisha kwa kiti
kaniangalia kwa macho na kaniangalia
Jimmy Gait
lemme tell you the truth
si eti nataka u-perform
nakutaka wewe
cause I’m so madly in love with you
and I want you so bad
kanifungulia mfuko mkupa mweusi
kutazama ndani kumejazwa na mapesa
kajasho kepesi kanitoka I say
na mwili wangu wote ukatetemeka
kwa muda mimi nikasitasita
nikaanza kufikiria mashida zangu
sauti kwa moyo kaniambia kwachua! 
nikaanza kuona vile ningetajirika
gari nzuri nyumba nzuri na deni kwisha
sauti kwa moyo kaniambia kwachua! 

Chorus
tiga ni Ngai ningepatwa na muhadhara
tiga ni Ngai ningepatwa na muhadhara

tiga ni Ngai ningepatwa na muhadhara
tiga ni Ngai ningepatwa na muhadhara
tuwachunge
sweetie mama
tondu nima 
nomagutirie

tuwachunge
sweetie mama
tondu nima 
nomagutirie

Verse 3
Sweetie mama kaja karibu kwangu
nikasonga songa songa kando
akaja tena nami nikasimama
nikaomba Mungu wa Yusufu
asikubali nipatwe na muhadhara
akasema please
nikasema no
nikamwambia
kaba mbeca cikare na ndurie kirigiriro
nikaruka kwa mlango nikajipata nje

Chorus
tiga ni Ngai ningepatwa na muhadhara
tiga ni Ngai ningepatwa na muhadhara

tiga ni Ngai ningepatwa na muhadhara
tiga ni Ngai ningepatwa na muhadhara
tuwachunge
sweetie mama
tondu nima 
nomagutirie

tuwachunge
sweetie mama
tondu nima 
nomagutirie

Outro
nikijipata nje
nikaanza kushukuru Mungu kwa kuniondolea muhadhara 
afadhali pesa za sweet mama zikae
kuliko nimkosee Mungu jamani
mara tu hivi
nikasikia simu imelia
kucheki
Uncle yangu kutoke USA akanipigia akaniambia
enda Western Union utoe 80,000 nimekutumia
nikakimbia nikaenda nikatoa nikaambia shetani ashindwe!

You cannot copy content of this page