Jerry Joe – Sakata Lyrics

Chorus
huu ni mwaka wa kusakata 
kata kata
huu ni mwaka wa kuangusha 
ngusha mahewa

Verse 1
nasema cheki
kati yenu nani fakie
na hasikiki
afaa kuwacha tu muziki
nakubalika
kila wiki na muziki
nikikuwapa rap
mapozi mi kupewa kiki
hiki na hiki natoboa ka mkuki
na hamjui
mi ni MC ule mrui
na hunipati
mi ni MC ule mnati
mwenye bahati mwenye kushika kwenye charti

Chorus
huu ni mwaka wa kusakata 
kata kata
huu ni mwaka wa kuangusha 
ngusha mahewa

huu ni mwaka wa kusakata 
kata kata
huu ni mwaka wa kuangusha 
ngusha mahewa

Verse 2
kama si mimi who else mwenye kuleta kibao
kama si Jerry Joe 
na ma-beats ku-flow
ngoma zangu mwakatika
beats zangu mwavunjika
kinyama bro
you can’t do me
Jerry Joe I’m the master
sit down relax kunywa Tusker
kushindwa kuzipita basi nenda piga duster
useless, nenda piga duster

Chorus
huu ni mwaka wa kusakata 
kata kata
huu ni mwaka wa kuangusha 
ngusha mahewa

huu ni mwaka wa kusakata 
kata kata
huu ni mwaka wa kuangusha 
ngusha mahewa

Verse 3
toka Ogopa nakuja kama star preacher
narudi kwenye fani sasa cheki sasa
nakula hepi jo 
hizo sales za kisasa zishawasha
hizo hits mi nawapa mi na-concentrate
mi niwape vitu straight
nani na nani
wananiita faya si ni JJ
ni Ogopa DJs
nikiimba kivyovyote nawachapa

Chorus
huu ni mwaka wa kusakata 
kata kata
huu ni mwaka wa kuangusha 
ngusha mahewa

huu ni mwaka wa kusakata 
kata kata
huu ni mwaka wa kuangusha 
ngusha mahewa

Verse 4
nasema twende dada
kanyaga mama 
chini kwa chini sa tunapanda
nasema twende dada
kanyaga mama 
chini kwa chini sa tunapanda
leo ni leo sakata ngoma
leo ni leo sakata ngoma
leo ni leo sakata ngoma
leo ni leo sakata ngoma

Chorus
huu ni mwaka wa kusakata 
kata kata
huu ni mwaka wa kuangusha 
ngusha mahewa

huu ni mwaka wa kusakata 
kata kata
huu ni mwaka wa kuangusha 
ngusha mahewa

You cannot copy content of this page