Jerry Joe – Bottom Shieper Lyrics

Chorus
nacheki dame mzuri mwenye bottom shieper
swali ni kama je atajipa
akikanyaga chini nyuma yatingika
upande kwa upande gal yatingika

nacheki dame mzuri mwenye bottom shieper
swali ni kama je atajipa
akikanyaga chini nyuma yatingika
upande kwa upande gal yatingika

Verse 1
songa na mwaga na tingisha ndanda
wasee wakicheki wanaanza kujaza
sema whose that girl with a big bumper
she’s a beauty fatty girl I’ve never seen before
oh no si anasongesha kiuno
ni Jerry Joe, hii ngoma inabamba jo
ni wadas jo
all I see the girls are fine but the guys are fine
other good chocolate thighs

Chorus
nacheki dame mzuri mwenye bottom shieper
swali ni kama je atajipa
akikanyaga chini nyuma yatingika
upande kwa upande gal yatingika

nacheki dame mzuri mwenye bottom shieper
swali ni kama je atajipa
akikanyaga chini nyuma yatingika
upande kwa upande gal yatingika

Verse 2
cheki dada mi ni got skills jo
kaa chonjo
nimekuja kwa fujo
cheki sasa Vipul me come inna di floor
oh no no jo mi na-flow
ladies feel me, are you with me
are you with me to dance this song
wewe beste shika kiuno
vuta nani mwingize kwenye floor

Chorus
nacheki dame mzuri mwenye bottom shieper
swali ni kama je atajipa
akikanyaga chini nyuma yatingika
upande kwa upande gal yatingika

nacheki dame mzuri mwenye bottom shieper
swali ni kama je atajipa
akikanyaga chini nyuma yatingika
upande kwa upande gal yatingika

Verse 3
nasema songa bonga
nikupe lyrics kama vile
Babyface including Mase
ingawa sikupati nataka niku-face
kivyovyote ki-all sides kama different mirrors in a one place

Chorus
nacheki dame mzuri mwenye bottom shieper
swali ni kama je atajipa
akikanyaga chini nyuma yatingika
upande kwa upande gal yatingika

nacheki dame mzuri mwenye bottom shieper
swali ni kama je atajipa
akikanyaga chini nyuma yatingika
upande kwa upande gal yatingika

Verse 4
you have to freeze man
sema dis for the girls
mi nawapa game kwenye charti mi na fame
rusha kiuno Jerry Joe dat’s my name
kama hamzibambi kwenye show mi usi-blame
for real zi-feel baby wine your body
wine your body then shake your bodies
ai, shika kiuno twende ai

Chorus
nacheki dame mzuri mwenye bottom shieper
swali ni kama je atajipa
akikanyaga chini nyuma yatingika
upande kwa upande gal yatingika

nacheki dame mzuri mwenye bottom shieper
swali ni kama je atajipa
akikanyaga chini nyuma yatingika
upande kwa upande gal yatingika

You cannot copy content of this page