Jemimah Thiong’o – Mipango ya Mungu Lyrics

Jemimah Thiong’o – Mipango ya Mungu Lyrics

mipango ya Mungu ni ya ajabu
mipango ya Mungu aipangapo
hakuna mwanadamu yeyote
awezaye kuipangua mipango ya Mungu

kila mtu ana riziki yake
kila mtu ana baraka zake
mafanikio maishani mwetu
huenda sambamba na mipango ya Mungu

kila mtu ana riziki yake
kila mtu ana baraka zake
mafanikio maishani mwetu
huenda sambamba na mipango ya Mungu

mipango ya Mungu ni ya ajabu
mipango ya Mungu aipangapo
hakuna mwanadamu yeyote
awezaye kuipangua mipango ya Mungu

mipango ya Mungu ni ya ajabu
mipango ya Mungu aipangapo
hakuna mwanadamu yeyote
awezaye kuipangua mipango ya Mungu

mipango ya Mungu ni ya ajabu
mipango ya Mungu aipangapo
hakuna mwanadamu yeyote
awezaye kuipangua mipango ya Mungu

kuzaliwa pale sina elimu
sijivune Mungu ndiye aliyepanga
alipanga upate hivi vyote
ili ukaweze kumtukuza kwazo

kuzaliwa pale sina elimu
sijivune Mungu ndiye aliyepanga
alipanga upate hivi vyote
ili ukaweze kumtukuza kwazo

mipango ya Mungu ni ya ajabu
mipango ya Mungu aipangapo
hakuna mwanadamu yeyote
awezaye kuipangua mipango ya Mungu

mipango ya Mungu ni ya ajabu
mipango ya Mungu aipangapo
hakuna mwanadamu yeyote
awezaye kuipangua mipango ya Mungu

You cannot copy content of this page