Jemimah Thiong’o – Akisema Atakubariki Lyrics

Jemimah Thiong’o – Akisema Atakubariki Lyrics

Chorus 
akisema atakubariki
hakuna atakaye zuia
kwani yeye ndiye Mungu
mwenye baraka zote

akisema atakubariki
hakuna atakaye zuia
kwani yeye ndiye Mungu
mwenye baraka zote

Verse 1
akisema atakubariki
wala usitie shaka
kwani yeye ndiye Mungu
mwenye baraka zote
mipango yake ya ajabu
tena haibadiliki
akisema atakuinua ndiye mwenye kuinua
akisema atakupa mtoto
katika umri wowote
aliwapa Sarah na Hannnah
vipi asiloweza

Chorus 
akisema atakubariki
hakuna atakaye zuia
kwani yeye ndiye Mungu
mwenye baraka zote

akisema atakubariki
hakuna atakaye zuia
kwani yeye ndiye Mungu
mwenye baraka zote

Verse 2
akisema atakubariki
watoto wako waelimike
wapate na shahada nyingi
hakuna atakaye zuia
akisema utapona
hakuna atakayezuia
mama aliyetokwa na damu aliponywa na kanzu yake
akisema atakubariki
hakuna atakaye zuia
atalinda afya yako
maana yeye ndiye mwenye afya

Chorus 
akisema atakubariki
hakuna atakaye zuia
kwani yeye ndiye Mungu
mwenye baraka zote

akisema atakubariki
hakuna atakaye zuia
kwani yeye ndiye Mungu
mwenye baraka zote

Verse 3
watembelea miguu
hata baisikeli huna
akisema uendeshe Musso
kesho utaendesha
waishi nyumba ya matope
huna hata mavazi
akianza kukubariki majirani watashangaa
akisema atakuinua
mbele ya adui zako
atakuandalia meza
ule, unywe wakitizama

Chorus 
akisema atakubariki
hakuna atakaye zuia
kwani yeye ndiye Mungu
mwenye baraka zote

akisema atakubariki
hakuna atakaye zuia
kwani yeye ndiye Mungu
mwenye baraka zote

You cannot copy content of this page