Jayels Family – Zimeshika Lyrics

Intro
Jean the Hustla baby
Spax the Royal n***a
Jayels Family n***a
Lets go cmon wow

Chorus
Ukisikia zimeshika
Ukisikia zimeshika
Ukisikia zimeshika
Mikono juu ya hewa wikaaa
Ukisikia zimeshika
Ukisikia zimeshika
Ukisikia zimeshika
Mikono juu ya hewa wikaaa

Verse 1 (SpaxtheRoyal)
Watu bambika katika banjuka,
Genge katitu kapuka,
Meza jaswa machupa
Watu kuwasha
Kichwa pasuka
Akili lipuka
Watu kuchapwa machupa lipuka
Mimi kwa kona nimenaswa na gomba
Mimi kwa kona nimenaswa na gomba
Mimi kwa kona nimenaswa na gombaaaa
Ahh uwwww

Chorus
Ukisikia zimeshika
Ukisikia zimeshika
Ukisikia zimeshika
Mikono juu ya hewa wika
Ukisikia zimeshika
Ukisikia zimeshika
Ukisikia zimeshika
Mikono juu ya hewa wika

Verse 2 (Jean the Hustla)
Jean Mbona macho ni red?
Kwani umetoka kudozy
Do nimeover dozz
No wonder macho ni red kama tomato sauce
Keroro ata iwe kali kushinda chill sauce
Bado ni favourite of many of us
Mairungi mitungi ma bale plus
Makuchi konyagi na handas
Kabla kupewa kumanga heavy meal
After kupewa kumanga heavy chick
Hey yow lady don’t scream baby
Hayow lady don’t scream baby
Take it easy baby
Heavy pumping
Tamu sana
In and out
Tamu sana
Iko karibu kudondoka mamie
So tuliza dakika kama mbili
Oooh kama mbili
Ooooh kama mbili
Yeah, yeah

Chorus
Ukisikia zimeshika
Ukisikia zimeshika
Ukisikia zimeshika
Mikono juu ya hewa wikaaa
Ukisikia zimeshika
Ukisikia zimeshika
Ukisikia zimeshika
Mikono juu ya hewa wikaaa

Verse 3
Mabale kathaa
Mitungi ya changaa
Mangale washaa
Gomba shikisha
Bora usikiye uko poa
Beshte uko freshy
Iwe holiday am weekend
Washa kimbaga
Round round mtaa
Ukiskia zimekushika
mkono juu ya hewa wika
Ukiskia zimeshika
Ukisikia zimeshika

Shout out
D-A-G-G-O daggo
Dando, ungwaro
Zimeshika
Comarocks, pevu
zimeshika
jomino, j.f
zimeshika
bongo tz
zimeshika
campala ug
zimeshika
Kenya Nairobi nrb
zimeshika
One for the road
woo
A little for the stomach sake
Comon
Jayels family
n***a
Zimeshika the song
Halla baby
zimeshika
zimeshika
zimeshika……..

You cannot copy content of this page