Jawabu – Mlango Lyrics

Verse 1
Sikiza kwa makini na ukiwikia mbio let me know no
look I come to your place kama kuna shida please let me know 
nilidhani utakuwa kama support kwangu check what I know 
wewe ni mwanadamu kama mimi is not my show 
many make things wanimediator kumbe we ni terminator nilikuja kwako 
kila siku is a question of what I need not what you need 
nilipokua na haja nawe ulidhani mi ata nawe hutatua pata mlango

Chorus
Usinifungie mlango
ata kama mlango wako
siku moja utagundua ya kwamba ni mi ndiye nafunga mlango 
Usinifungie mlango
ata kama mlango wako
siku moja utagundua ya kwamba ni mi ndiye nafunga mlango 

Verse 2
Every time you see me walking by
ulisema ata sina any jo 
kila siku ulisema come kesho shika redi
furish shinfa thantesh me ni garden me no mi amore
sema kama unataka more
mi nitakuchezea piano na martino 
mbio zangu huziwezi kutoka jasamerengwe bolero kama supuerto rico asuga…

Chorus
Usinifungie mlango
ata kama mlango wako
siku moja utagundua ya kwamba ni mi ndiye nafunga mlango 
Usinifungie mlango
ata kama mlango wako
siku moja utagundua ya kwamba ni mi ndiye nafunga mlango 

siku moja utagundua ya kwamba ni mi ndiye nafunga mlango 
siku moja utagundua ya kwamba ni mi ndiye nafunga mlango 

Break it down break it down soldire mandugu digital sample sample ye

siku moja utagundua ya kwamba ni mi ndiye nafunga mlango 
siku moja utagundua ya kwamba ni mi ndiye nafunga mlango 

Nafunga milango na ata ukimwambia hasikii

You cannot copy content of this page