Jaguar & Hotty – Fanya Mambo Lyrics

Verse 1
nina uwezo wa ajabu
kukufanya ushinde kwenye dance floor
weka hizo mikono zenyu hewani
piga mayowe naja kukuokoa
vunja kiuno
shika kiuno
sister cheza kama siku yako ya kuzaliwa
vunja kiuno
shika kiuno
utabaki umejibwaga kwenye floor

Chorus
wacha nifanye mambo
wacha nifanye mambo
wacha nifanye mambo
dunia nzima haki nayo
inijue

Verse 2
nakuona ukikatika kwenye floor
sister songea nawe tucheze rhumba
mister DJ nawe 
tupe hewa
mister bouncer nawe
wacha siasa
sister cheza na unaowaelewa
sister cheza na unaowaelewa
(Hotte)
songea songea, ninakatika katika
natingiza tingiza hizo rigida digida
Jaguar man
this is Hotte girl
I’m easy for the sheezy like Ogopa DJs

Chorus
wacha nifanye mambo
wacha nifanye mambo
wacha nifanye mambo
dunia nzima haki nayo
inijue

wacha nifanye mambo
wacha nifanye mambo
wacha nifanye mambo
dunia nzima haki nayo
inijue

Verse 3
nina mic
speaker, spanner na makanika
mambo nifanye dunia nayo inijue
beste shika usiachilie
cheza hewa kama
uko hewani
(Hotte)
flippin I’m ripping the party ragga like whoa
ukileta hizi flow, everybody’s gotta know
jibu na swali sema kama utaweza
kama utaweza, kama utaweza

Chorus
wacha nifanye mambo
wacha nifanye mambo
wacha nifanye mambo
dunia nzima haki nayo
inijue

wacha nifanye mambo
wacha nifanye mambo
wacha nifanye mambo
dunia nzima haki nayo
inijue

Verse 4
nina uwezo wa ajabu
kukufanya ushinde kwenye dance floor
weka hizo mikono zenyu hewani
piga mayowe naja kukuokoa
vunja kiuno
shika kiuno
sister cheza kama siku yako ya kuzaliwa
vunja kiuno
shika kiuno
utabaki umejibwaga kwenye floor

Chorus
wacha nifanye mambo
wacha nifanye mambo
wacha nifanye mambo
dunia nzima haki nayo
inijue

You cannot copy content of this page