Influx Swagga – Kawaida lyrics


INTRO:
unajua vitu zenye wasanii upitia, yaani zinakuanga mob sana…. skiza… nipe 
kawaida

VERSE 1 LYRICS: 
sungura akipata swagga, atawasumbua, 
nimepata hii beat? nitaiteremkia 
sikatai nina ugojwa yaitwa mistaria 
I.C.U Niko, sitamani kuponea 
mie uavoid mwauras, pale mfangano, 
juu day yangu kawaida itaanza saa tano 
si mchana mtu wangu, usiku ndio maneno 
club ikijaa, kwangu ndio mavuno, 
sisi ndio mwenyewe mnawatafuta wapi? 
24 hour economy, tunapractise 
two hours ukidozz, usingizi pinga pozz, 
na hiyo ndio maisha, si tunaishi

CHORUS LYRICS: 
Nipe Kawaida, Fanya Kawaida 
hii ndio life nimechoose, influx kawaida 
(ukido)*4 
maisha ya msanii, mistari ndio lugha

VERSE 2 LYRICS: 
hapa na pale nishaunda mkwanjwa, 
four ama five, ndiyo kurudi kwa keja 
siwezi hata wife tulimalizana jana 
nikamlisha tu poa asimange mchana 
ka solar kutokea kwa ofisi na suti 
tukisonga tumesonga hakuna kuleta upuzi 
unastammer nini? rudi home piga tizi 
bare in mind kuwa, hii yangu ni kazi 
dreams za kuendesha malimo maprado 
mahammer bila shinda tukipark tu kando 
tunaweza ziachieve bila magun madrando 
na hiyo ndio maisha, mambo bado

CHORUS LYRICS: 
Nipe Kawaida, Fanya Kawaida 
hii ndio life nimechoose, influx kawaida 
(ukido)*4 
maisha ya msanii, mistari ndio lugha

VERSE 3 LYRICS:
nimechoka macho nikamwanga jasho 
after kukazana kuna huyu fala 
anatokezea kimalamala 
anachukua mziki yangu anauza dala 
story mtaani zinasema nini? 
eti ameshinda mpaka serikali 
ye anazidi tu kutoa vitambi 
kuna vile hii story jo hainibambi 
vitu zenye mie upitia, do uweze kuniskia… 
ah.. zinakurarukia.. haiya (ndo huyu)*3 
(mpe kawaida)*2 

CHORUS LYRICS: 
Nipe Kawaida, Fanya Kawaida 
hii ndio life nimechoose, influx kawaida 
(ukido)*4 
maisha ya msanii, mistari ndio lugha

You cannot copy content of this page