Influx swagga – Chokoza Reply Lyrics

eeyai….eeeiiii
tusizoeana*2

VERSE 1
Influx
mtu wangu vipi nakwambia,
kuna manzi ameniharamia,
amekunywa beer na akadisappear,
amesanya machupa glass za beer,

E-jay
huyu manzi tumemzoea,
siku zake tunamwesabia,

influx 
hata ma3 anasema upanda sare,
anadhani hii ufala ataleta kwa bale.

bridge
E-jay 
ye na beste yake wame kuja clubu

Influx
hata hawawezi beba pesa…

E-jay 
eti wanaume watawalipia

Influx 
we goja tu nitawatesa….

CHORUS
wamekuja chokoza aha aha aha
wakachokoza wambaya aha aha *2

VERSE 2
E-jay
ewe manzi isione wewe tu ndio msupa we,
when u smile at me unadhani wewe tu do unaexist,
so you dance with me but chunga kuna wengi kwenye list,
eti nipe gaji, we manzi ebu wacha ufala we,

Influx
shati kali ni swagga sina gaji za waste,
move closer but shida zako weka mbali we,
you got your own, your job your cash, job your car e.t.c
zangu wazitakia nini? manzi weh!

CHORUS

VERSE 3
Influx
hey… kwani hao mamanzi wanakuwanga aje
wanakuja club kutafuta beshte
ama labda mtaani wamekaushwa…..
enyewe ratio ya madame to maboy imeanza kushow….. hahaha

Bridge

chorus*2

OUTRO
Influx
kwenye reply
Ni E-jay na Influx yeh…
mziki tunafanyia justice bila hata practice,
sonic sounds Ndani nyumba, sign out

You cannot copy content of this page