Influx – Siku Za Mwizi Lyrics

siku za mwizi
wacha wachizi
ndani ya beat ya K.G
yeh

Verse 1
tunabonga juu ya dame mkali figure fulani
sidanganyi alikuwa dame wangu wa zamani
naskia kuna msee ye umwta waifi
na toka nicome nimekuta vitu mara …..(mbili)
sijui ya tatu nilienda kufanya nini
i wish i knew ningelenga tu yaani
alipinga simu”njoo kuna fulani”
kuingia kejani sikutaka jua gani
nakatani manyundo katamani kaa zamani
tafash *2 kuna mtu mlangoni
hauwezi fungua hujui amebeba nini
risasi,panga au rungu ya kizikani
weh

Chorus
nimeshikwa mpaka nikaamini
siku za mwizi bado arubaini
sa mie karauni dasema nini
hakuna lakini lazima dalala ndani *2

Verse 2
vile buyu ni fiam, sa nitaaza wapi
hazi mlangoni nitahepa side gani
hii ni single room hakuna ceilng ni mabati
nimekuwa nikihanya dame wangu wa forty
nitakimbilia nani, akanishow
“chali ndani ya keja yangu? hii ni madharau”
tafadhali sahau “laziama daita karau”
akawapingia roho ngumu ka farau
nijaribu kuharibu nao station ni karibu
nikajua ofisa lazima ataniadhibu
kuingia eh! hizi maswali dajibu?
one of them ni yule sasa dame yangu?

Chorus
nimeshikwa mpaka nikaamini
siku za mwizi bado arubaini
sa mie karauni dasema nini
hakuna lakini lazima dalala ndani *2

Verse 3
she was da gal i loved before niende stato
ile ceremony ya obama akimakiwa orezo
kurudi nikapata ameolewa ungwaro
nikaelezea lilo, kwa box sosooo
nikapata missed call yake bila credo
nikakopa safcom nikapata hiyo do
kama hakunipenda bona alinipingia
na kama hakunifeel love kanisambazia
hizi vitu za watu na usiniulize ni gani
usipenye ndani usitumie ka kiatu
juu siku ni arubaini tu!!!!
(order) *4


Chorus *2
nimeshikwa mpaka nikaamini
siku za mwizi bado arubaini
sa mie karauni dasema nini
hakuna lakini lazima dalala ndani *2

nimeshikwa mpaka nikaamini
siku za mwizi bado arubaini
sa mie karauni dasema nini
hakuna lakini lazima dalala ndani *2

sonic sounds

You cannot copy content of this page