Historians ft. Collo – Ana Bidii Lyrics

Intro (Collo)
hii track ni auto ka mash
DEP with historians making that cash
44 overscore PA
weka beat moja kali ndio wafinye replay

hii track ni auto ka mash
DEP with historians making that cash
44 overscore PA
weka beat moja kali ndio wafinye replay

Chorus (French Boy)
hebu tazama venye huyo binti anajua kukata
ana bidii
manukato kwenye shavu makwapa na shingo amepaka
ana bidii
anavyoteleza jo
ananibamba
si ananipendeza jo
mpaka vidole nazilamba jo
itabaki mmesema yo
anani-anani-anani…

Verse 1 (French Boy)
ananibamba
yuko juu ya matai
kwenye miniskirt
sexy and too tempting
na ana beste kwenye tight jeans
looking like an R&B diva
jolie fille
na-feel kujikata na wote wawili
na huku kumeshona na madame kibao

Chorus (French Boy)
hebu tazama venye huyo binti anajua kukata
ana bidii
manukato kwenye shavu makwapa na shingo amepaka
ana bidii
anavyoteleza jo
ananibamba
si ananipendeza jo
mpaka vidole nazilamba jo
itabaki mmesema yo

Verse 2 (Collo)
natazama kopo langu la saba
chicky freshi juu chini sa nakaa masaa
na akitoa kwenye klabu nipate binti mwafrika mlami au mwarabu
nataka ani-feel
nimkatie nimpatie nisitoke nil, zii
juu nikishafunga deal dame akileta nyefe nyefe I say nimechill

Chorus (French Boy)
hebu tazama venye huyo binti anajua kukata
ana bidii
manukato kwenye shavu makwapa na shingo amepaka
ana bidii
anavyoteleza jo
ananibamba
si ananipendeza jo
mpaka vidole nazilamba jo
itabaki mmesema yo

Verse 3 (Swaleh)
they call me the
Prince
S.W.A.L.E.H ooh
niko set
cause I’m a free agent
and my crew
they’re the living legends
sisi tuna mabinti wa kila aina
machinku
mwarabu
wazungu
msichana wa kiafrika
kweli kaumbika
akikata hiyo mwili damn nyote mnawika

Chorus (French Boy)
hebu tazama venye huyo binti anajua kukata
ana bidii
manukato kwenye shavu makwapa na shingo amepaka
ana bidii
anavyoteleza jo
ananibamba
si ananipendeza jo
mpaka vidole nazilamba jo
itabaki mmesema yo
anani-anani-anani…

Verse 4 (French Boy)
ananibamba
yuko juu ya matai
kwenye miniskirt
sexy and too tempting
na ana beste kwenye tight jeans
looking like an R&B diva
jolie fille
na-feel kujikata na wote wawili
na huku kumeshona na madame kibao

Outro (Collo)

hii track ni auto ka mash
DEP with historians making that cash
44 overscore PA
weka beat moja kali ndio wafinye replay

hii track ni auto ka mash
DEP with historians making that cash
44 overscore PA
weka beat moja kali ndio wafinye replay

You cannot copy content of this page