Habib & BigPin – Sherekea Lyrics

Bridge
O-K
Habibi na Big Pin
tutafanya nini
tutasherekea-ea-ea-ea

O-K
Habibi na Big Pin
tutafanya nini
tutasherekea-ea-ea-ea

Chorus

(Big Pin)
Hizo drinks zinakam ama niaje
rusha nirushe
rusha nirushe

(Habib)
na kama leo unavuta ma…
vuta nivute
vuta nivute

(Big Pin)
na kama unahisi kwenda kwenye dance floor
ruka niruke
ruka niruke

ni kusherekea tu (leo, leo)
tunasherekea tu (ULOPA NGOMA!)

Verse 1(Habib)
dress code ni black
shoes zina-match
nkute ndani ya gari nikipanga rematch
mababi wana-dance
wanati wana-chant
Haberi anawika siwesi make yaani I can’t
ma-club zimejaa
ma-parking zimejaa
hakuna mtu leo amebaki kwa mtaa
naanza kuhisi kiu, kiu
kwa hivyo utanipata Qs, Qs
na manzi mmoja msupuu
kama siko chini niko juu, juu yake
naanza kumshika, yuaanza kuwika
na huku ninajua swali gani atauliza

Chorus

(Big Pin)
Hizo drinks zinakam ama niaje
rusha nirushe
rusha nirushe

(Habib)
na kama leo unavuta ma…
vuta nivute
vuta nivute

(Big Pin)
na kama unahisi kwenda kwenye dance floor
ruka niruke
ruka niruke

ni kusherekea tu (leo, leo)
tunasherekea tu

Verse 2 (Big Pin)
ka kawaida si unajuanga venye mi hu-do
nang’ara poa agenda leo ni kukwapa tu
na ni tembo ninateremsha tu
napata kachip na leo lazima ni…
T-Shirt ni white
sneakers za Nike
na chips kando yangu, everything is alright
tequila all night 
sambuca all right
now niko juu and I’m high as a kite
so wacha pressure, tuliza moss moss
na usherekee nami, inua glass, piga toast
ni kusherekea tu (leo, leo)
tunasherekea tu (leo, leo)

so wacha pressure, tuliza moss moss
usherekee nami, inua glass, piga toast
ni kusherekea tu (leo, leo)
tunasherekea tu (leo, leo)

Chorus

(Big Pin)
Hizo drinks zinakam ama niaje
rusha nirushe
rusha nirushe

(Habib)
na kama leo unavuta ma…
vuta nivute
vuta nivute

(Big Pin)
na kama unahisi kwenda kwenye dance floor
ruka niruke
ruka niruke

ni kusherekea tu (leo, leo)
tunasherekea tu

Verse 3 (Big Pin)
matembo kwa wingi
na wewe ndio victim
DJ pia wewe ungefanya nini
eh? eh? ungefanya nini
DJ pia wewe ungefanya nini
(Habib)
mabinti kwa wingi, na wote hawaringi
Big Pin,
eh? Utafanya nini
eh? eh? Utafanya nini
nini?
eh? Utafanya nini
(Big Pin)
I can party all night
juu mood iko right
Habib waelezee how we do it all times
(How we do?)how we do it all times
Habib waelezee how we do it all times

Chorus
(Big Pin)
Hizo drinks zinakam ama niaje
rusha nirushe
rusha nirushe

(Habib)
na kama leo unavuta ma…
vuta nivute
vuta nivute

(Big Pin)
na kama unahisi kwenda kwenye dance floor
ruka niruke
ruka niruke

ni kusherekea tu (leo, leo)
tunasherekea tu

Bridge
O-K
Habibi na Big Pin
tutafanya nini
tutasherekea-ea-ea-ea

O-K
Habibi na Big Pin
tutafanya nini
tutasherekea-ea-ea-ea

Chorus

(Big Pin)
Hizo drinks zinakam ama niaje
rusha nirushe
rusha nirushe

(Habib)
na kama leo unavuta ma…
vuta nivute
vuta nivute

(Big Pin)
na kama unahisi kwenda kwenye dance floor
ruka niruke
ruka niruke

ni kusherekea tu (leo, leo)
tunasherekea tu

You cannot copy content of this page