GRA – Swagger Lyrics

CHORUS LYRICS:
Basi nyote mkono juu
kama unapenda swagger zake sema [put your swagg on]
nanananananana…..hey yo!
Basi nyote mkono juu
kama unapenda swagger zake sema [put your swagg on]
nanananananana

VERSE 1 LYRICS:
Maneno yangu kiini macho nawaziba zenyu mboni
kipaji mi ninacho msijifanye eti hamuoni
roho zimekubali midomoni ndio mnabana
hamuoni haya hamna aibu mi ndio mkali zaidi ya mbaya
mpole ki tabia, la muhuni ki mistari
kwenye chati navamia wadauri wanaona shwari
sishindani nao ligi zetu hazilingani
na zangu na tour nawaacha magizani
mwisho wa kila stanza kwangu mwanzo wa vesi
vina navyopanga tafakari hakuna kudensi
navuta pumzi kimtindo naongeza mwendo
watashangaa wanapo-hate mi ndio nawaonyesha upendo
na-iritate maskio ya wanafiki, flow ni nduki ka risasi ndio maana mi sishikiki
naikeketa lugha natumia maneno sili, hater we chana mbuga hapa kwangu hupati dili
na-speak in tongues nahitaji mkalimani ndio muelewe nayosema mueze kuisoma dhamani

CHORUS LYRICS:
Hey yo!
Basi nyote mkono juu
kama unapenda swagger zake sema [put your swagg on]
nanananananana…..hey yo!
Basi nyote mkono juu
kama unapenda swagger zake sema [put your swagg on]
nanananananana

VERSE 2 LYRICS:
Unahisi traki ni fupi kwa utamu wa hizi sio
unachotaka wengine kupe na kwangu unakimbilia
sio lazima unisifie ndio niweze kujiamini
nafasi we nipatie nikwandalie ya midini
mambo yangu yako wazi, we jifiche ni ka una punyeto
nafanya mziki kazi wacha mambo ya kitoto bwana
patwa na hofu ju kwa ani navyopanda
snitch na style mbovu pembeni wanajibanza
juu ya beat nakemea, machozi wanalegea
nyonga sauti, iga flow ama binti utapotea
navamia machungu yao kisha kuwachuna ngozi
basi yangu dream zao sina damu ya kibitozi
walishajua mi ni mkali kwa hii kitu
daily nawapoteza nawapiga marufuku
na-transform kwenye game unavyotaka
niko concious kwa swagger, hustle nakula butter
yeah!

CHORUS LYRICS:
Hey yo!
Basi nyote mkono juu
kama unapenda swagger zake sema [put your swagg on]
nanananananana…..hey yo!
Basi nyote mkono juu
kama unapenda swagger zake sema [put your swagg on]
nanananananana

VERSE 3 LYRICS:
Kabla hii traki nilikwambia we msela take it slow
maneno yangu uliyaskia na bado mbona uko mbio
we brada nikikwambia nina ma-jeans kibao
ukaona kama utani leo umepigwa na mshangao
underground superstar, kabla si ndio kuingia
ndio track yangu ya kwanza mjeshi leo nimefika
baada ya ku-hustle sana nashukuru niko peponi
na sikuanza maisha jana nilipinga tangu mwanzoni
asanti sana kwa wale walionipa sapoti
haina shida pia ukichana kwa shida pia ukavoti
the big time rhyme, majina kubwa walinipa
sijali wakibana mi ni bullet kwa ma-hater
VIP from the Ghetto University you can see
in this game I’m a hero coz nasonga kwa bidii
hello haters, I’m not seeing you
my name is GRA and this is what I do

CHORUS LYRICS:
Hey yo!
Basi nyote mkono juu
kama unapenda swagger zake sema [put your swagg on]
nanananananana…..hey yo!
Basi nyote mkono juu
kama unapenda swagger zake sema [put your swagg on]
nanananananana

You cannot copy content of this page