Gospel Fathers – Sina Madeni Lyrics

Chorus
nakuambia mimi sina madeni
kuna mtu ashanilipia hayo madeni
sina shughuli za… hayo madeni
kwani Yesu wangu ashalipa madeni

nakuambia kweli mimi sasa sina madeni
kuna mtu ashanilipia hayo madeni
sina shughuli za… hayo madeni
kwani Yesu wangu ashalipa madeni

Verse 1


alisema yote yamekwisha
kisha papo hapo tu akamalizika
sijui ni vipi nitakueleza
vile alinilipia deni na si kwa mapesa
nitasema kweli ndani mimi nampenda
alinifia dhambi zangu bila kumpenda
alipodungwa damu ilitoka kuniosha
alipodungwa maji yalitoka kuniosha

sasa mi msafi zaidi
sasa mi msafi kote
sasa mi msafi moyoni
sasa mi msafi ndani

sasa mi msafi zaidi
sasa mi msafi kote
sasa mi msafi moyoni
sasa mi msafi ndani

Chorus
nakuambia mimi sina madeni
kuna mtu ashanilipia hayo madeni
sina shughuli za… hayo madeni
kwani Yesu wangu ashalipa madeni

nakuambia kweli mimi sasa sina madeni
kuna mtu ashanilipia hayo madeni
sina shughuli za… hayo madeni
kwani Yesu wangu ashalipa madeni

Verse 2
toka juu hadi chini nimeng’ara Kristo
tangu ja-jana hadi wa leo
Kristo kanifia dhambi zangu
kwa upendo
kalipia deni langu kwa mpango
niko chini ya mwamba
mwamba juu yangu
mambo bado
damu yake i juu yangu ka mviringo
deni langu imewekwa kando
wee tulia
hebu cheki 
sijableki
niko seti
ninarukaruka kama ndama
wadhii wanashindwa mi ni kreti
kama yule Suleimani ama jeshi niko seti
siko feki, niko fiti
si ninadai
unataka fly
very very high
lakini wee apply
yote ni Messi
na utafurahi
wala si ku-fry

Chorus
nakuambia mimi sina madeni
kuna mtu ashanilipia hayo madeni
sina shughuli za… hayo madeni
kwani Yesu wangu ashalipa madeni

nakuambia kweli mimi sasa sina madeni
kuna mtu ashanilipia hayo madeni
sina shughuli za… hayo madeni
kwani Yesu wangu ashalipa madeni

Verse 3
wasee mmekaa
jeshi ya talaa
sote yatufaa
tusiwe kama paa
sare kuwadaa
kama wanyama
wao wanakaa
ka wana njaa
yesu alisema
ka mi nitasema
tuwe watu wema
wanaofanya vyema
tusiwe wa kutema
kwa yeye alihema
juu ya watu wema
nina raha ndani
niko juu ya mali
wala hizo gari
unazozitamani
si ninadai
unataka fly
very very high
lakini wee apply
yote ni Messi
na utafurahi
wala si ku-fry

Chorus


nakuambia mimi sina madeni
kuna mtu ashanilipia hayo madeni
sina shughuli za… hayo madeni
kwani Yesu wangu ashalipa madeni

nakuambia kweli mimi sasa sina madeni
kuna mtu ashanilipia hayo madeni
sina shughuli za… hayo madeni
kwani Yesu wangu ashalipa madeni

wacha tuwape mavitu safi
wacha tuwape mavitu kali

wacha tuwape mavitu safi
wacha tuwape mavitu kali

wacha tuwape mavitu safi
wacha tuwape mavitu kali

Chorus


nakuambia mimi sina madeni
kuna mtu ashanilipia hayo madeni
sina shughuli za… hayo madeni
kwani Yesu wangu ashalipa madeni

nakuambia kweli mimi sasa sina madeni
kuna mtu ashanilipia hayo madeni
sina shughuli za… hayo madeni
kwani Yesu wangu ashalipa madeni

You cannot copy content of this page