Gospel Fathers – Fundi wa Mbao Lyrics

Chorus
Nimependwa na fundi wa mbao
je wee umependwa
Nimependwa na fundi wa mbao
je wee umesamehewa

Nimependwa na fundi wa mbao
je wee umependwa
Nimependwa na fundi wa mbao
je wee umesamehewa

Verse 1
shida mingi mimi niliona wee
niliona mengi ya kuchosha wee 
toka mapande yote ya korna wee 
shida zilizidi kuchomoka wee 
nilimkumbuka mtu moja wee 
huyu fundi aitwaye Mola wee 
nilipiga goti na kumwomba wee
naye fundi akaniokoa 
Emmanuel Emmanuel Emmanuel ndiye fundi pekee
Emmanuel Emmanuel Emmanuel ndiye fundi pekee

Chorus
Nimependwa na fundi wa mbao
je wee umependwa
Nimependwa na fundi wa mbao
je wee umesamehewa

Nimependwa na fundi wa mbao
je wee umependwa
Nimependwa na fundi wa mbao
je wee umesamehewa

Verse 2
Nimetafuta kwote for quite a long time
fundi wa kunitosheleza
shida sio viti wala meza
ila nina mahitaji ya kindani
mimi nina moja tatizo
fanicha zote niko nazo
kama ni kabati na kitanda
vyote niko navyo jamani lakini
ni katika hali ya kujichunguza
usiku wa mchana mimi nawaza
nitaenda wapi wangu mwili ukizorota
swali najiuliza
so nahitaji fundi wa roho yangu
atakayejenga nafsi yangu
si mwengine wala Kristo Simba wa Yuda
aliyejulikana kama fundi wa mbao

Chorus
Nimependwa na fundi wa mbao
je wee umependwa
Nimependwa na fundi wa mbao
je wee umesamehewa

Nimependwa na fundi wa mbao
je wee umependwa
Nimependwa na fundi wa mbao
je wee umesamehewa

Verse 3
alifunzwa kutoka utotoni
na baba yake
kutengeneza meza na viti
na mama yake
kuzipiga randa na rangi
ili wauze
kuunganisha na misumari
ka baba yake
hakujua zitamsulupisha
na watu wote 
He’s just a carpenter
wakasema
He’s just a
He’s just a
He’s just a carpenter

napiga magoti naita mwokozi tazama yeye
napiga magoti naita mwokozi tazama yeye
napiga magoti naita mwokozi tazama yeye
napiga magoti naita mwokozi tazama yeye

nipige randa
nipige randa
nipige randa
mwokozi fundi wa mbao

niwe sambamba
niwe sawasawa
nipige randa
mwokozi fundi wa mbao

napiga magoti naita mwokozi tazama yeye
napiga magoti naita mwokozi tazama yeye
napiga magoti naita mwokozi tazama yeye
napiga magoti naita mwokozi tazama yeye

nipige randa
ni
pige randa

nipige randa
mwokozi fundi wa mbao

niwe sambamba
niwe sawasawa
nipige randa
mwokozi fundi wa mbao

You cannot copy content of this page