Geedruff ft. Maich Blaq – Kwa Sababu Yako Lyrics

Geedruff ft. Maich Blaq – Kwa Sababu Yako Lyrics

Chorus
ni kwa sababu yako
manzi yangu sasa amekuwa wako
nilidhani mimi ni beste yako
lakini umenikatsia vi-deadly sio vako
si kwa sababu yangu
manze chickidee wako aliloba stylo zangu
nikam-tap lakini wapi
she was hard to pause
so nika-decide kumpa roho yangu

ni kwa sababu yako
manzi yangu sasa amekuwa wako
nilidhani mimi ni beste yako
lakini umenikatsia vi-deadly sio vako
si kwa sababu yangu
manze chickidee wako aliloba stylo zangu
nikam-tap lakini wapi
she was hard to pause
so nika-decide kumpa roho yangu

Verse 1
ngoja kwanza
kata mdomo, nyamaza kwanza
Geedi bado tuko stanza
ile ya kwanza
na ukizidi kunijamisha hosi 
watakulaza
unaezaje kuni-slice dame yangu
ule nataka
eh, eh, niaje kizee
tuliza joto
why you mad lexxus man
poesha moto
what makes you think
that a dope like me
can be such a nyangau man
I wasn’t gonna eat your meow
eh? umesahau
nani alini-show madharau
tena ex wangu
ndani ya bedroom yangu
juu ya bed yangu
mki-get freaky freaky
na kuchafua sheets zangu
OK, wacha tu-have a man talk
ata kama ni wee
u-serviwe njiva kwa plate
uta-go ahead ku-hog
ama uta-explore the fork jo
there’s a difference between kuhanya na kuhanywa jo
hallo?

Chorus
ni kwa sababu yako
manzi yangu sasa amekuwa wako
nilidhani mimi ni beste yako
lakini umenikatsia vi-deadly sio vako
si kwa sababu yangu
manze chickidee wako aliloba stylo zangu
nikam-tap lakini wapi
she was hard to pause
so nika-decide kumpa roho yangu

ni kwa sababu yako
manzi yangu sasa amekuwa wako
nilidhani mimi ni beste yako
lakini umenikatsia vi-deadly sio vako
si kwa sababu yangu
manze chickidee wako aliloba stylo zangu
nikam-tap lakini wapi
she was hard to pause
so nika-decide kumpa roho yangu

Verse 2
manze brain yangu imefika position ya ku-lose direction
naskia nikushike mashati nikurushe kutoka kule kule kwa mabati
niku-flatten ka chapati
unaezaje hook manzi yangu ka samaki
eh, eh? unanego vita (kushika shika)
OK, sa una-pretend ati ume-forget
ile notorious hug uli-do na sistangu Juliet
and yet ulimchukulia just to be a one night stand
sistako tulikuwa under influence ya mwako
si vako
respect zangu zote zilikuwa ni kwako
unafaa ku-understand
manzi ni manzi awe sistako auntie yako 
lakini si manzi yako
just like you said, manzi ni ma?
ni manzi
na kuchagua manzi ni ka mkulima kuchagua jembe
so pia manzi yako mi nilimchukulia ka foko jembe
niaje k
izee unahangaisi inafanya umee pembe


Chorus
ni kwa sababu yako
manzi yangu sasa amekuwa wako
nilidhani mimi ni beste yako
lakini umenikatsia vi-deadly sio vako
si kwa sababu yangu
manze chickidee wako aliloba stylo zangu
nikam-tap lakini wapi
she was hard to pause
so nika-decide kumpa roho yangu

ni kwa sababu yako
manzi yangu sasa amekuwa wako
nilidhani mimi ni beste yako
lakini umenikatsia vi-deadly sio vako
si kwa sababu yangu
manze chickidee wako aliloba stylo zangu
nikam-tap lakini wapi
she was hard to pause
so nika-decide kumpa roho yangu

Verse 3
Geedruff iza
hii story tunafaa kumaliza
sina roho ya kuchukua maisha
tukizidi ku-fight
huyu manzi ataona tumejipa
eeh, manze you’re right
ebu imagine kwenye tumetoka
tangu tukuwe ma-junior bano tulicheza pamoja
bike ya neighbour pia tulikuwa tukihepesha pamoja
sasa how comes tuna-allow manzi kutupotosha
poa poa, juu ya hiyo risto
basi pewa chupa moja
inafaa kuoza hapo
pewa moja
ngoja
tukimaliza hapa tunapitita kule K-Street pamoja au sio
ndio ndio
manze you are my dog, you’re just like my bro
hata mamanzi wakuje wakwende, you’ll still be my dog
hebu ni-passie hiyo nare niwashe ngale
na wee umalize barley tukategee mathree ya sare

You cannot copy content of this page