Geed Ruff & Syd – Chafua Remix Lyrics

Geed Ruff & Syd – Chafua Remix Lyrics

Chorus
ni Geed Ruff na Syd na chafua remix
tukikam kuwabamba
mabeste mko wapi, eh
katika sasa

ni Geed Ruff na Syd na chafua remix
tukikam kuwabamba
mamanzi mko wapi, eh
tingisha rasa

Verse 1 (Geed Ruff)
once again nimekam kuwa
vuruga vuruga na chafua remix
kwa hivyo ma-hoochie
wenye ma-booty
anzeni ku-boogie huku mkichafua
niaje madame wa Nairobi
you all know me
mi si homie
lakini kwenye charti nanyakua namba
na ma-bumper na pia mkitaka nawachafua
mabeste mko wapi, eh (tuko hapa)
basi shika dada
umpeleke bumper to bumper
na akitaka kupakatwa

Chorus
ni Geed Ruff na Syd na chafua remix
tukikam kuwabamba
mabeste mko wapi, eh
katika sasa

ni Geed Ruff na Syd na chafua remix
tukikam kuwabamba
mamanzi mko wapi, eh
tingisha rasa

Verse 2 (Syd)
e-yo come utapata
vipi, hey dada
kila siku nakuambia kumechacha
e-yo brother basi kamata
huyo dada aliye karibu nawe kisha chafua
mweke bumper kisha kata
nasi tukiziendazienda kwa haraka
bila ya kutaka kuwacha
hakuna matata
basi nitakupa rada ya kuchafua
I think you got a witness
bila shaka hapa nitakupa juu ya remix
rusha mikono halafu kata sasa vipi
Geed Ruff na Syd representing with this real beat

Chorus


ni Geed Ruff na Syd na chafua remix
tukikam kuwabamba
mabeste mko wapi, eh
katika sasa

ni Geed Ruff na Syd na chafua remix
tukikam kuwabamba
mamanzi mko wapi, eh
tingisha rasa

Verse 3 (Geed Ruff)
brother, sister make it clap
G, double E D.R.U. double F (Geed Ruff)
ala, tunafanya ma-honey honey
waanze tu ku-party
si ni wale wale
kaka cheki yule dada
akichafua chafua hizo nanda
akichafua chafua hizo bumper
na ukishakagua sema unataka kuchafua
ngoja kidogo
wachana na watoto
ngoma bado ni moto
wacha majoto joto
utakula kokoto
wacha mamioto mioto
kuna mapocho pocho zinatu-chill tutazichafua
(Syd)
that’s right D, ni mimi
skiza beat ziki-hit ka isukuti
for now sweetie nipe ma-moochie moochie
then tukifika keja nipe ma-coochie coochie…

Outro
tingisha
come on madondosa
come on mazungusa
zungusa your digida kabisa

tingisha
come on madondosa
come on mazungusa
zungusa your digida kabisa

You cannot copy content of this page