Fundi Konde – Olivia Leo Lyrics

Olivia leo
penzi wangu sikudhania
ya kwamba leo
kiama kimetujongelea

Olivia leo
penzi wangu sikudhania
ya kwamba leo
kiama kimetujongelea

kiama kimetujongelea
kiama kimetujongelea

taabu na mashaka
kiama kimetujongelea

taabu na mashaka
kiama kimetujongelea

si kwamba fimbo
kitendawili kukifumbua
nyamaza kilio
hiki kitu ndicho kidunia

si kwamba fimbo
kitendawili kukifumbua
nyamaza kilio
hiki kitu ndicho kidunia

kiama kimetujongelea
kiama kimetujongelea

taabu na mashaka na mashaka
kiama kimetujongelea

taabu na mashaka na mashaka
kiama kimetujongelea

Olivia leo
penzi wangu sikudhania
ya kwamba leo
kiama kimetujongelea

Olivia leo
penzi wangu sikudhania
ya kwamba leo
kiama kimetujongelea

si kwamba fumbo
kitendawili kukufumbia
nyamaza kilio
hiki kitu ndicho kidunia

si kwamba fumbo
kitendawili kukufumbia
nyamaza kilio
hiki kitu ndicho kidunia

kiama kimetujongelea
kiama kimetujongelea

You cannot copy content of this page