Fundi Konde – Nalitupa Teke Lyrics

maua mazuri yapendeza
maua mazuri yapendeza

ukiyatazama
utachekelea
hakuna mmoja asiyopendeza

ukiyatazama
utachekelea
hakuna mmoja asiyopendeza

zum zum zum
nyuki lia wee

zum zum zum
nyuki lia wee

toka mbali kutafuta ua nzuri kwa chakula
zum zum zum zum zum
nyuki lia wee

katika mwitu mtoto husimama
na nguo yake nzuri aliyovaa
nani mwenye namna hii
nakukaa mwituni
naye amekaa pekee yake tu

nani mwenye namna hii
nakukaa mwituni
naye amekaa pekee yake

zum zum zum
nyuki lia wee

zum zum zum
nyuki lia wee

toka mbali kutafuta ua nzuri kwa chakula
zum zum zum zum zum
nyuki lia wee

You cannot copy content of this page