Fundi Konde – Mazowea Lyrics

Nalia
kila nikiyafikiri mazowea
naumia yanikutisha mashaka

Nalia
kila nikiyafikiri mazowea
naumia yanikutisha mashaka

sina budi kuyasema
nanyi mupate kujua

sina budi kuyasema
nanyi mupate kujua

mazowea, mazowea
penzi wangu naumia

mazowea, mazowea
penzi wangu naumia

Nalia
kila nikiyafikiri mazowea
naumia yanikutisha mashaka

Nalia
kila nikiyafikiri mazowea
naumia yanikutisha mashaka

sina budi kuyasema
nanyi mupate kujua

sina budi kuyasema
nanyi mupate kujua

mazowea, mazowea
penzi wangu naumia

mazowea, mazowea
penzi wangu naumia

You cannot copy content of this page