Fundi Konde – Mama Sowera Lyrics

Mama Sowera, Mama Sowera
Mama Sowera, Mama Sowera

dunia ya sasa ni kukaa wawili
muwe maskini au matajiri
na kukaa wawili ni kustahamili

dunia ya sasa ni kukaa wawili
muwe maskini au matajiri
na kukaa wawili ni kustahamili

Mama Sowera, Mama Sowera
Mama Sowera, Mama Sowera

ulimwengu wa sasa si mtu kuchezea
utiapo fahamu huwa umepotea
na kila ukiwaza na kiza hutokea

ulimwengu wa sasa si mtu kuchezea
utiapo fahamu huwa umepotea
na kila ukiwaza na kiza hutokea

Mama Sowera, Mama Sowera
Mama Sowera, Mama Sowera

ulimwengu wa sasa mi kukaa pekea 
utiapo fahamu huwa umepotea
na kila ukiwaza na kiza hutokea
ulimwengu wa sasa si mtu kuchezea
utiapo fahamu huwa umepotea
na kila ukiwaza na kiza hutokea

Mama Sowera, Mama Sowera
Mama Sowera, Mama Sowera

dunia ya sasa ni kukaa wawili
muwe maskini au matajiri
na kukaa wawili ni kustahamili

dunia ya sasa ni kukaa wawili
muwe maskini au matajiri
na kukaa wawili ni kustahamili

Mama Sowera, Mama Sowera
Mama Sowera, Mama Sowera

You cannot copy content of this page