Fundi Konde – Gari la Punda Lyrics

Nimeapa, nimeapa
gari la punda sipandi
sikulewa sikulewa
wala sivuti bangi
laniua, laniua
Kinda wesha dala mlagilangi
laniua, laniua
mama wesha dala mlagilangi

yamenitosha eeh
sifanyi tena mwanangu
yamenitosha eeh
sifanyi tena

yamenitosha eeh
sifanyi tena mwanangu
yamenitosha eeh
sifanyi tena

sina tena tabasama
wala na mi na hiyo
sili wala sifahamu
na yote uandikayo
nikilala nakufikiri Kinda wee kiua changu cha moyo
nikilala nakufikiri Kinda wee kiua changu cha moyo


yamenitosha eeh
sifanyi tena mwanangu
yamenitosha eeh
sifanyi tena

ati nini?

yamenitosha eeh
kitu gani
unafanyaje kwani
yamenitosha eeh
urongo wenu huo
sifanyi tena

yamenitosha eeh
sifanyi tena mwanangu
kitu gani mama
yamenitosha eeh
sifanyi tena
wajuaje

yamenitosha eeh
yapi?
sifanyi tena mwanangu
yamenitosha eeh
sifanyi tena

Nimeapa, nimeapa
gari la punda sipandi
sikulewa sikulewa
wala sivuti bangi
laniua, laniua
Kinda wesha dala mlagilangi
laniua, laniua
mama wesha dala mlagilangi

yamenitosha eeh
sifanyi tena mwanangu
yamenitosha eeh
sifanyi tena
mama nilikuambia

yamenitosha eeh
sifanyi tena mwanangu
yamenitosha eeh
sifanyi tena

yamenitosha eeh
sifanyi tena mwanangu
yamenitosha eeh
sifanyi tena

You cannot copy content of this page