Fundi Konde – Ajali Haikingiki Lyrics

Hino ajali haikingiki
asainipo Mola mwenyewe

Hino ajali haikingiki
asainipo Mola mwenyewe

Ni chombo imara 
chenye dhamani
kilichopasishwa
Uingerezani

kilinguruma Likoni kikatiririka
wale pasenja wakafelea baharini

kilinguruma Likoni kikatiririka
wale pasenja wakafelea baharini

Naliona hivyo kwaherini
Naliona hivyo kwaherini

natanga Pangani
kwenye waganga
nami sahafu imepangana

natanga Pangani
kwenye waganga
nami sahafu imepangana

dereva kombo ungama zako zimekwisha
hapa Mombasa jirani wazikwa shirika

dereva kombo ungama zako zimekwisha
hapa Mombasa jirani wazikwa shirika


Naliona hivyo kwaherini
Naliona hivyo kwaherini

watoka Mombasa 
kuenda Nairobi
huko njiani
majisaliti
Wanairobi hawana habari
uko njiani toka Mombasa

Mara radio yasema na jina ni lako
kwamba ajali mbaya imetokea njiani
nao pasenja hawajulikani majina
nayo hesabu ni ya kubahatisha
fuateni wasia wa wimbo huu
kwa kujiepusha na hizi ajali

You cannot copy content of this page