Flexx ft. Laety – Namba Yako Lyrics

Chorus
sasa wee tulia usitoke hapo
nimekudigi kitambo
naomba tu unipe namba zako
ata ka ni za vako

sasa wee tulia usitoke hapo
nimekudigi kitambo
naomba tu unipe namba zako
ata ka ni za sistako

Verse 1
vile umenipeleka mbio
siwezi tuliza
kejani sikai hata kidogo
kwa base natoka na giza
nazubaa na bedroom window yako
nimekuwa stalker kwako
na kwangu bado na mtoto
lakini ni wee naona kunoto

Chorus
sasa wee tulia usitoke hapo
nimekudigi kitambo
naomba tu unipe namba zako
ata ka ni za vako

sasa wee tulia usitoke hapo
nimekudigi kitambo
naomba tu unipe namba zako
ata ka ni za sistako

Verse 2
ukibonga niskie
sauti yako
roho yangu inatulia
nikikuona
na chali yako
kuna vile naumia
nazubaa na bedroom window yako
na kwangu bado na mtoto
lakini ni wee naona kunoto

Chorus
sasa wee tulia usitoke hapo
nimekudigi kitambo
naomba tu unipe namba zako
ata ka ni za vako

sasa wee tulia usitoke hapo
nimekudigi kitambo
naomba tu unipe namba zako
ata ka ni za sistako

Skit
hey, karibu, karibu ukae
mi ndio daktari hapa
sema
unaumwa na wapi
daktari mi sijui naskia aje
na-feel ni kama roho yangu haigongi poa
tena hata naskia kichwa inaniuma
na silali tena poa
na hakuna symptoms zingine
mi hukaa kwa base mpaka saa kumi hivi
kumbe ni manzi flani anakusumbua
kitu ka hiyo
sasa fanya hivi
meza painkillers tatu mara nne kwa siku
na ununue maua ya red
umpelekee ule manzi mtaani kwao
alafu utapona
eh, kweli
sawa basi
kitu ingine
usisahau kumwitisha namba yake
poa poa daktari, thanks jo
ngoja, usitoke haraka hivo
nipe namba yako
OK, OK

Chorus
sasa wee tulia usitoke hapo
nimekudigi kitambo
naomba tu unipe namba zako
ata ka ni za vako

sasa wee tulia usitoke hapo
nimekudigi kitambo
naomba tu unipe namba zako
ata ka ni za sistako

You cannot copy content of this page