Flexx ft. Jua Cali – Nyundo Lyrics

Sijui niseme… 

Chorus (Flexx)
Nashindwa jo nizame wapi
nyundo yangu sasa itauwa wapi
usiwache endelea cheza nalo
mpaka iseme jina zote unazo

Nashindwa jo nizame wapi
nyundo yangu sasa itauwa wapi
usiwache endelea cheza nalo
mpaka iseme jina zote unazo

Verse 1 (Flexx)
sijui jo nianze kusema vipi
wacha tu niseme uko fiti
kwanza vile umesimama mtoto
unafanya nashikwa na joto
kwanza nikicheki hiyo kifua
naskia karibu kujiua
lips zako soft zinasema
nyundo yangu lazima itasema

Chorus (Flexx)
Nashindwa jo nizame wapi
nyundo yangu sasa itauwa wapi
usiwache endelea cheza nalo
mpaka iseme jina zote unazo

Nashindwa jo nizame wapi
nyundo yangu sasa itauwa wapi
usiwache endelea cheza nalo
mpaka iseme jina zote unazo

Verse 2 (Flexx)
hizo teke zako zanikwachu
unafanya beste atupe mbachu
hiyo mwili yako ikisonga kidogo
nyundo yangu inaruka kidogo
come ubonge nayo inazusha
lakini chunga inaeza rusha
cheza nalo nine inch yote sista
natupa bure ukam mara sita
mara sita
sijui niseme, sijui niseme
(Jua Cali)
hapa job kuna nyundo moja itadunga wapi
na msumari ni moja itaingia wapi
tulia nipe msumeno nigware vifiti
na ikiezekana nikutengenezee hiyo kiti
lakini kabati yako ni kubwa sana
ilalishe hivi iipige randa
na sandpaper ni kitu ya maana kusugua kitanda
ya mtu mmoja staki wall unit
ni nzito kusongesha
wee niandalie tu juu ya meza (metres ngapi)
tutaipima na tape measure
nifupishe
nirefushe
alafu nikate
rangi rangi ile ya blue niipake
lakini bado mpaka saa hii nashindwa nipake upande gani
usiwe na wasi wasi
wee ni mteja wangu ‘taimaliza leo leo
ndio utajua kwa nini 
siku hizi inaitwa
nyundo wa komeo

Chorus (Flexx)
Nashindwa jo nizame wapi
nyundo yangu sasa itauwa wapi
usiwache endelea cheza nalo
mpaka iseme jina zote unazo

Nashindwa jo nizame wapi
nyundo yangu sasa itauwa wapi
usiwache endelea cheza nalo
mpaka iseme jina zote unazo

Verse 3
sijui jo nianze kusema vipi
wacha tu niseme uko fiti
kwanza vile umesimama mtoto
unafanya nashikwa na joto
kwanza nikicheki hiyo kifua
naskia karibu kujiua
lips zako soft zinasema
nyundo yangu lazima itasema

Chorus (Flexx)
Nashindwa jo nizame wapi
nyundo yangu sasa itauwa wapi
usiwache endelea cheza nalo
mpaka iseme jina zote unazo

Nashindwa jo nizame wapi
nyundo yangu sasa itauwa wapi
usiwache endelea cheza nalo

mpaka iseme jina zote unazo

You cannot copy content of this page