FATMOD -Songa kando Lyrics

Chorus
Songa kando, songa kando, vipi brother nipe nafasi,

Songa kando, songa kando, vipi dada nipe nafasi,

Verse 1
Basi nipe nafasi, niwape jo maversi,
Nifanye nyote mtake kusifu sifu nasi,
Bila wasi wasi twaleta maversi, za fanya nyote mtake kusifu nasi,

Songa songa kando,
Nitamsifu Yahweh, ata  mshike nare,
Ingawa na nawe, Mungu ni Jemedari,
Nitamsifu Yahweh, ata  mshike nare,
Ingawa na nawe, Mungu ni Jemedari,

Chorus
Songa kando, songa kando, vipi brother nipe nafasi,
Songa kando, songa kando, vipi brother nipe nafasi,
Songa kando, songa kando, vipi dada nipe nafasi,
Songa kando, songa kando, vipi dada nipe nafasi,
Yeah-ye-ye-ye-ye-ye-ee-yeaee
Yeah-ye-ye-ye-ye-ye-ee-yeaee

Verse 2
Nipe nafasi, nikupe habari  juu ya muokozi, ni ye jemedali,
Mwanzo tena mwisho, ni Alpha Omega,
Mwanzo tena mwisho, ni Alpha Omega,

Rambo-bambo bum bum, Yesu  Kristo anayo pia,
Kama gari Vrum-vrum-vrum, na shetani anadisappear,
Rambo-bambo bum bum, Yesu  Kristo anayo pia,
Kama gari Vrum-vrum-vrum, na shetani anadisappear,

Chorus
Songa kando, songa kando, vipi brother nipe nafasi,
Songa kando, songa kando, vipi brother nipe nafasi,
Songa kando, songa kando, vipi dada nipe nafasi,
Songa kando, songa kando, vipi dada nipe nafasi,

Verse 3
Nipe nafasi niwaambie juu ya Kristo,
tumefika hapa kama FATMOD,
Mahewa tunawapea, mnawika juu,

Lakini mnaelewa kua Yesu tu, akifika hapa nmaokoka tu!

Ndio sasa, hapo sasa, tuna leta mambo sasa,
Ndio sasa, hapo sasa, tuna leta mambo sasa,

Rambo-bambo bum bum, Yesu  Kristo anayo pia,
Kama gari Vrum-vrum-vrum, na shetani anadisappear,
Rambo-bambo bum bum, Yesu  Kristo anayo pia,
Kama gari Vrum-vrum-vrum, na shetani anadisappear,

Chorus
Songa kando, songa kando, vipi brother nipe nafasi,
Songa kando, songa kando, vipi brother nipe nafasi,
Songa kando, songa kando, vipi dada nipe nafasi,
Songa kando, songa kando, vipi dada nipe nafasi,

Ningekua  nani mimi,  kama si Mwokozi Yesu,

Tumuabudu nani sisi, kama si mwokozi yesu,

You cannot copy content of this page