Fadhili Williams – Ewe Wangu

ewe wangu
mbona wanisumbua

ewe wangu
mbona wanisumbua

ninatoka kwetu mbali
ninatoka kwetu mbali

kukufata wewe
kukufata wewe

ee kipenzi nisikize
ee kipenzi nisikize kipenzi changu
mama tungali vijana

ewe wangu wee usinisumbue
ewe wangu wee usinisumbue

utakuja juta ee unikumbuke
utakuja juta ee unikumbuke

ewe wangu
mbona wanisumbua
ninatoka kwetu mbali
kukufata wewe
ninatoka kwetu mbali
kukufata wewe
ewe wangu wee
usinisumbue

You cannot copy content of this page