Eyaz feat Bwanangoma – Mpenzi Lyrics

INTRO:
Nakupenda mpenzi wangu,  kwenye shida na mali
Watacho sema juu yangu, baby usijali
Penzi letu mi na wee, ni mapenzi  ya ukweli
Nakufeel mpenzi wangu, hata ukiwa mbali
Pia nyumbani kwa wazazi, tushapewa kibali
Ya kuwa wachumba kuoana na kuonja asali
Niko nawe hadi kufa, kwenye shida na mali.

VERSE 1 LYRICS:
Kama nyota juu angani
Inavyo angaza duniani
Mapenzi yako moyoni
Inaniangaza maishani
Bila mapenzi yako mi sioni
Napenda unavyo nishika mkononi
Napenda unavyo nilalia kifuani
Napenda unavyo nibusu shavuni
Ni wee pekee ulliye moyoni
Nakupenda zaidi ya mamilioni

HOOK:
Niko nawe hadi kufa kwenye shida na mali
Niko nawe hadi kufa kwenye shida na mali
Niko nawe hadi kufa kwenye shida na mali
yeah ah kwenye shida na mali.

CHORUS LYRICS:
Vile mpenzi unavyo nipenda
Mimi nakupenda pia
Vile mpenzi unavyo nipenda
Mimi nakupenda pia
Nakupenda,kupenda,kupenda
Mimi nakupenda,mimi nakupenda pia
Nakupenda,kupenda,kupenda
Mpenzi nakupenda,mimi nakupenda

VERSE 2 LYRICS:
Washa semasema juu yangu mi
Ukawapuzilia zao fitina
Mapenzi yetu ni baraka
Toka mbinguni kwa maulana
Tutashikana hatutowachana
Mimi na wewe tutaoana
Wenye wivu wanaumana
Wapendi kuona tunapenda
Wenye wivu wanaumana
wapendi kuona tunapendana.

HOOK:
Niko nawe hadi kufa kwenye shida na mali
Niko nawe hadi kufa kwenye shida na mali
Niko nawe hadi kufa kwenye shida na mali
yeah ah kwenye shida na mali.

CHORUS LYRICS:
Vile mpenzi unavyo nipenda
Mimi nakupenda pia
Vile mpenzi unavyo nipenda
Mimi nakupenda pia
Nakupenda,kupenda,kupenda
Mimi nakupenda,mimi nakupenda pia
Nakupenda,kupenda,kupenda
Mpenzi nakupenda,mimi nakupenda

VERSE 3 LYRICS:
Nini dawa ya mapenzi nishatafuta nikaikosa mi
Dakitari wa mapenzi atafutwe nishamkosa mi
Nishamkosa mi
Na si eti mimi nina shida ya mapenzi
Ninae nimpendae na nimelowa
Nimelowa kwa mapenzi
Mapenzi ni ugonjwa
Baby umenizingua moyo
Nimenyeshewa na mvua ya mapenzi
Na mimi nimelowa
Kwa hivyo nitakupenda mile

CHORUS LYRICS:
Vile mpenzi unavyo nipenda
Mimi nakupenda pia
Vile mpenzi unavyo nipenda
Mimi nakupenda pia
Nakupenda,kupenda,kupenda
Mimi nakupenda,mimi nakupenda pia
Nakupenda,kupenda,kupenda
Mpenzi nakupenda,mimi nakupenda

HOOK:
Niko nawe hadi kufa kwenye shida na mali
Niko nawe hadi kufa kwenye shida na mali
Niko nawe hadi kufa kwenye shida na mali
yeah ah kwenye shida na mali.

You cannot copy content of this page