El Tezzy – Cheki Dem Lyrics

Chorus
cheki dem, cheki dem (aha!)
kila siku kwa mtaa (aha!)
wika, cheka, wika (ooh wee!)
Piga nduru niwasikie

cheki dem, cheki dem (aha!)
kila siku kwa mtaa (aha!)
wika, cheka, wika (ooh wee!)
Piga nduru niwasikie

Verse 1


cheki hiyo kitu inavyotingishika
machali wote wanabaki wanawika
basi wika
piga nduru niwasikie
OK cheki hiyo thigh
walai utafurahi
ana figure ka Rah Digga
ma n***a akiimba
mtabaki mmewika
amefika
toka Thika Athi River hata Kisumu
hakuna manzi yoyote wa kumpa competition
walai
mimi ninasema kusema kweli
yeye malaika si uso maneno hata hiyo figure
amebarikiwa
fanikiwa
sijui nimwite aje
honey, mami ama auntie
or alti ama anani
wika, shika, fika
ukishindwa, zika, pika
tingisha

Chorus
cheki dem, cheki dem (aha!)
kila siku kwa mtaa (aha!)
wika, cheka, wika (ooh wee!)
Piga nduru niwasikie

cheki dem, cheki dem (aha!)
kila siku kwa mtaa (aha!)
wika, cheka, wika (ooh wee!)
Piga nduru niwasikie

Verse 2
cheki dem (aha!)
anavyotingisha zungusha rasa
kila mimi nikiwa kwa darasa
ni yeye tu mimi huwaza
ameiva
mwendo wake ni ule wa aste aste
huku sara zake zimejichora vinoma
wewe kutoka Carni, Mamba, hata K1
yeye hufuatwa na machali
nami simwachi simtemi
milele na milele nim-call, ye ani-call

mummy, daddy, I’m with my honey
cheki some honey 
watching Bugs Bunny
mimi niko happy
mabeste mko wapi (tuko hapa)
mabeste mko wapi (tuko hapa)
wika, shika, fika
ukishindwa, zika, pika
tingisha

Chorus
cheki dem, cheki dem (aha!)
kila siku kwa mtaa (aha!)
wika, cheka, wika (ooh wee!)
Piga nduru niwasikie

cheki dem, cheki dem (aha!)
kila siku kwa mtaa (aha!)
wika, cheka, wika (ooh wee!)
Piga nduru niwasikie

tingisha rasa, tingisha sara
tingisha rasa, tingisha sara
tingisha rasa, tingisha sara
wewe… thank you

cheki dem, cheki dem
kila siku kwa mtaa
wika, cheka, wika (ooh wee!)
Piga nduru niwasikie

cheki dem, cheki dem (aha!)
kila siku kwa mtaa (aha!)
wika, cheka, wika (ooh wee!)
Piga nduru niwasikie

You cannot copy content of this page