Eklektiks & Fauz Noir – Uliza Msee Lyrics

Intro
kila time ukiwasha hiyo radio
na ukiskiza vile hiyo beat iki-go
plus msanii akiroga anavyo-flow
mna-say ako tight(aaight!)
na tena mna-wish manze aendelee ku-blow
ndio muweze kuburudika once more
mkishikana na wadhii mseme here we go
ndio m-feel alright (alright!)

Verse 1
haya basi, nionyeshe upendo
ka una kipendo, kifuate hii mwenendo
ukiskiza sauti hii ya gharama
sauti fiti, fiti, ama
juu niko on point, I hope you feeling me
niko na the flava ya kubamba wadhii
so, kama mazee haunijui
ama ka hii style hauitambui, unafaa ku…

Chorus
uliza, uliza msee
kama hujui mimi ni nani
ninavyowakilisha this way
hey

uliza, uliza msee
kama hujui mimi ni nani
ninavyowakilisha this way
hey

Verse 2
huku na beat tam mi hutoa ngoma kick ma-snare
ma-string zikipotea bra…
si unajua huu ni nani, ni rapper bar
rapper mmoja mwenye skill jamaa
in real life mi hukuwanga msee wa kawaida
lakini kwa hii track niangalie kama Jesus
nikiwa nyuma ya mic mi hufanya miujiza
uliza Kanye West, 
mi ndio hu-rap the best
kupita 6-4, nani ata-test
juu mi na crew tukishika mic ni shida
most wanted kwa hii dunia kama al Qaeda
ndio unajua hatutishiki ikifika upande ya vina
ka hujajua mpaka saa hii, we uliza
si hu-rap wanalia wanachanganyikiwa
masyke zinawapanda wanaharibikiwa
ndio unafaa kujiuliza, si ati kujijazia

Chorus
uliza, uliza msee
kama hujui mimi ni nani
ninavyowakilisha this way
hey

uliza, uliza msee
kama hujui mimi ni nani
ninavyowakilisha this way
hey

Verse 3
kuuliza msee ni kawaida tu
tumekuwa kwa hii game, uliza msee
ukienda place na hujui uko wapi
unacheki wasee, haujui ni akina nani
ume-lost, haujui njia ni gani
tuliza, cheki, uliza msee
umecheki dame sawa tu sana
amekubamba, unamtaka tu sana
ni sawasawa, lakini chunga sana
hauwezi jua huyo dame ni nani bana
hauwezi jua yeye ni wa nani hapo
kabla ushtue, chunguza chunguza
uliza uliza, uliza msee
hakuna haja ya kufanya vitu mzimamzima
sababu unaeza fanya vitu vibaya
kama hujui, tafadhali wacha
ama tafadhali, uliza msee

Chorus
uliza, uliza msee
kama hujui mimi ni nani
ninavyowakilisha this way
hey

uliza, uliza msee
kama hujui mimi ni nani
ninavyowakilisha this way
hey

na kama wapata hujui
Eklektiks ni nani na wametoka wapi
kumbe hujijali wee
jaribu utambue
kama huwezi wee
ebu uliza msee

Chorus

uliza, uliza msee
kama hujui mimi ni nani
ninavyowakilisha this way
hey

uliza, uliza msee
kama hujui mimi ni nani
ninavyowakilisha this way
hey

You cannot copy content of this page