Edu – Election song Lyrics

VERSE 1 LYRICS:
Mpaka lini Kenya x4 (Yeah)
Mpaka lini Kenya x3
Mpaka lini Kenya tutakaa tumedoz
Ni ujinga si ati hatuna doo
3 presidents lakini wawili wameniboo
Mpaka lini wengi wetu tutahepa home
Juu kenya tunagoals lakini hatawezi score
Cheki watoto kwenye Streets wanalala njaa
Kumada Colle kupata job ndio balaa
Nashindwa mbona Kenya hakuna leaders Vijanaa
Turudishe kenya jinsi inavyofaa kuwa
Ni vijanaa ndivyo tutakavyo amua
Ka nonini alivyosema tukatae hio
Na wanaoleta ujinga tukatae au sio

CHORUS LYRICS:
Bring back the Kenya we know (Yee ah)
Bring back the kenya we love (Yee ah)
Bring back everything we have lost thru the wars (Yee ah)
No more pain no more no more blood shed
I said no more pain….

VERSE 2 LYRICS:
Werevu wetu wamejaa nchi za ng’ambo
Na hilo kwetu silo jambo
Nanusa Damu toka kaburi za 07
na hilo kwetu silo jambo i guess we are so sille
Nashindwa mbona hatuamini majiranii
Lakini twaamnini wote wenye Vitambi
Ndo kila mwaka wajipandishie mshahara
Mnbona kura zetu ziwe biashara
Na si wenyewe kwenye streets tunasuffer
Nakupa hii hili uone whats the right picture
And that’s the only way Kenya to the bright future

CHORUS LYRICS:
Bring back the Kenya we know (Yee ah)
Bring back the kenya we love (Yee ah)
Bring back everything we have lost thru the wars (Yee ah)
No more pain no more no more bloodshed
I said no more pain….

VERSE 3 LYRICS:
Si lazima tunyamaze juu ya rights zetu
Mbona media zetu mewashika shingo?
Mbona mambo ya ukweli mwanipa kipigo?
Mbona Viongozi wazuri wnamadwa?
Yaani mbona mi nafeel ka nakazwa?
Wanatupa tu smile time za kura
Baada ya hapo wote wankunja sura
Tumekuja sa na we gona take over

CHORUS LYRICS:
Bring back the Kenya we know (Yee ah)
Bring back the kenya we love (Yee ah)
Bring back everything we have lost thru the wars (Yee ah)
No more pain no more no more bloodshed
I said no more pain….

You cannot copy content of this page