Dyverse, Wally B & Lord Shiree – Pewa Maji Lyrics

Chorus (Wally B)
wapi madame wako safi
independent na classy (pewa maji)
na ma-boy wana dough, wana-itch kuzi-blow
vuta mami ‘toka floor waambie (pewa maji)

wapi madame wana haga
wanadai kunipatia hiyo namba na date
wana ma-boy wako down hawana mali ama game
waambie pole sana boss (pewa maji)

Verse 1 (Dyverse)
bottles zina-spill, glasses ziko chilled
mi, Shiree na Wally tuko dressed to kill
madame ka wote up in here wanatu-feel
coz si tuko na uwezo wa ku-pay the bills
cheddar tuna-blow, days come and go
kila siku kwetu ni holiday, you didn’t know
na mi kawaida mi napenda kwenda slow
lakini leo tunapewa maji, sio H2O
money, ain’t a thing for me
you see, it’s the same for me
nami baby unafaa ku-be
ndani, kwa hizi vinywaji
honey, unaweza fit kwa hii glasi
nataka ku-drown ndani yako ka maji

Chorus (Wally B)

wapi madame wako safi
independent na classy (pewa maji)
na ma-boy wana dough, wana-itch kuzi-blow
vuta mami ‘toka floor waambie (pewa maji)

wapi madame wana haga
wanadai kunipatia hiyo namba na date
wana ma-boy wako down hawana mali ama game
waambie pole sana boss (pewa maji)

Verse 2 (Lord Shiree)
leo nina drink kama yellow na blue so
natafuta dame mwenye mwili na uso
so, waiter akiniitisha pesa
nasema bring more ntalipa na M-PESA
fresh to death
kwenye Sunday best
and then, nina watch ka ya Ben 10
wengine wao tunawaitanga error
juu kila saa kwa bar enyewe wako sober
yes sir, first nakata veve
and then nita-buy machupa kama mandeve
chunga mchele ukiwaka kwa bar
mchele so much ni ka Mwea Tebere
Lord Shiree, yani post ya stima
harakisha mami upewe maji ya uzima
Wally B, niko maji ka Noah
ebu endelea, mi naenda kukojoa

Chorus (Wally B)
wapi madame wako safi
independent na classy (pewa maji)
na ma-boy wana dough, wana-itch kuzi-blow
vuta mami ‘toka floor waambie (pewa maji)

wapi madame wana haga
wanadai kunipatia hiyo namba na date
wana ma-boy wako down hawana mali ama game
waambie pole sana boss (pewa maji)

Verse 3 (Wally B)
W.B niko na weaknesses
ndani ya club mi si-dance mi niko area ya mistresses
nina stealth mpaka nikichuna mami
K24 watakosa eye witnesses
niko na sweetness yes, contagious
nikiingia club wananishika kama sicknesses
sina stress but nikiona mami kwenye distress
niko ka fox na ye ni vixen
first ni holiday Karen Blixen
bed nina hoes kama five ama six then
then mmh mpaka five ama six then
naamka na wife five kwenye five by six man
nadai miguu zishike ceiling
usinishike baby boo shika feelings
nataka chips, sitaki potato peelings
kuja nami girl uni-help ku-blow shillings

Chorus (Wally B)
wapi madame wako safi
independent na classy (pewa maji)
na ma-boy wana dough, wana-itch kuzi-blow
vuta mami ‘toka floor waambie (pewa maji)

wapi madame wana haga
wanadai kunipatia hiyo namba na date
wana ma-boy wako down hawana mali ama game
waambie pole sana boss (pewa maji)

You cannot copy content of this page