Double G, C.S.Y & Bishop – Kwenye bench Lyrics

Verse one:(CSY & Double G)
Kuna dame flani amekuwa akininyima
Manze uko sure umezidai kabisa?
Anadai kamoti mkwanja na heshima 
Hizo ni vitu za wanga atabaki amejipanga
Na kaa anadai ni bikra tight kama sticker?
Mshow Atapanuka na tot moja ya sambuka.
Eh we msee hiyo ni kukosa heshima,
Saa zingine inabidi hizi vitu kuzisema .
Majugu viagra zote nimeseti.?
Nowanda ile time ulikuwa umestedi?
And all that time imekuw a tu makumbo.
Ngojangoja huumiza manyundo!

Chorus (CSY)
umeniweka kwenye bench mpenzi
sitaki kuwa substitute samahani
siku mingi na mi na kutamani
mbona kuniweka kwenye bench

Verse 2 (Bishop)
Unajua pia mi nimechoka kungojea
Kukaa kila time nikama ninadoea
Hutaki kukubali pia we unajiskia
Unafanya nikae tu ni mimi ni na nia
Nimekaa kwenye parking jo siku mob
Sai nauliza kweli is this love kama bob
Haian haja uoneshe mabeste zato vile umeninoki
Na tukiwa na wewe unanionesha mi sitoshi
Nipe k.i.s.s bila kusema c.h.i.l.l
Yea .weleo tu sema yes alafu nitalipa hiyo b.i.l.l(haiya)
Najua we nimhot kama pasi ya stima 
Na niko ready hiyo joto kuipimapima
Si healthy kwa mtu kaa mimi kuzoea tu kula nyama ya ulimi
Nataka zaidi kuona nakupata
Ukikataa ona vile ina kuhata

Verse 3 (Double G)
Nimeketi na kuwaza kweli sitaficha 
double g taongea hadharani
miezi sita bila kuwa namba one sinyurita 
nimejam nimeshika makali,mbona kunichanga?
nimehanyahanya toka jan 
coz then ulinitema hadharani
and all that time sija have any fan?
Sasa mimi,dame fly bila stress mi nataka we muthee
Shorty fine bila dame simtambui
Na kaa dame doo bila vako mi sika
Na kaa shorty show love haipo.

Chorus (CSY)
Umeniweka kwenye bench mpenzi
sitaki kuwa substitute samahani
siku mingi na mi na kutamani
mbona kuniweka kwenye bench

You cannot copy content of this page