DNG DNA Kenrazy Kaya and Le Duq – Kamua Lyrics


Chorus 

Game ina… kamua kamua 
Game ina… kamua kamua 
Makamuzi ya hali ya juu

Verse 1 (DNG)
DNG si unajua
Roundi this nimetua
Na mistari kishua
Nime come kutarua
Hii fani kizee nime come kuirarua
Hii industry kama ****a kuipanua
Mitaani, Jomino wametukubali
Wamesema ni wakati wetu tutawale
Field Marshall, Dedan Kimathi wa hii fani
Pia chuma uma na mashotta wa Ukoo Flani
Kibera lights pamoja hapa na namba nane
Kupata riziki twenzetu tukang’ang’ane
Lazima nasaka hela kila wakati
Lazima nifanikiwe na hiki kipaji
Nikae mbele bora nikae mzuka mzee
Tupepee kitajiri na kifahari tu
Tukamue makamuzi ya hali ya juu

Chorus 
Game ina… kamua kamua 
Game ina… kamua kamua 
Makamuzi ya hali ya juu

Verse 2 (Kenrazy)
Juu nilizaliwa na mathangu mi ni family member
Na-remember poa ni 29th September
Nili-pop out ki-Popeye ni ka nimemanga spinach
Na-fight ni-grow na-hustle, niwe na dough
F2 session ya jam mi nikajipata
Jomino Talent Matters Tukapatana
Told it like it is juu ya ti-chi
Beat ile ilikuwa cold like it is tukaleta heat
Niko busy nakamua mi na-mask kalenda
Nacheki saa inasonga but sita-surrender
Ka unapenda my bar come ukuwe bartender
Na manzi ka unanilove damn wee ni Lavender
Ganji kwa pocket zingine ziko kwa bank
Cable kwa socket kijana si uwashe taa
Niko gauge daily juu maji imejaa kwa tank
Utadhani ni Jesus alichange water into wine yeah!

Chorus 
Game ina… kamua kamua 
Game ina… kamua kamua 
Makamuzi ya hali ya juu

Verse 3
(Le Duq)

Jo niwe mvua ama jua mi nimekamuakamua
Mie mnajua nikikamu nachafua
Punchline kibao Mpaka lip inafura
Ziwezi rhyme na ubao mazee nipe chakula
Nafanya rap nipate dishi nideme
Na niachilie ghasia ndio mi niishi milele
But as long as I’m alive ni official
Siwezi lala nita-strive Mpaka mwisho
(Kaya)
Kaya ni hustler I’m a I’m a hustler
Homie kama Cannibal, Sharama ka Sama
Homie yeah, ka iko ninaitaka
Na pali iko niko ninaisaka
Makamuzi ya hali ya juu
Na mapuuzi, mi sikubalingi juu
Nimeamua, mi kufika top ni must
Kukamua kamua Mpaka drop ya last.
(DNA)
Niko na uptown money, na downtown money
Got grapes, strips na River-Road money
Jomino of course, hii si funny
Tulikuja na ukarimu, hawa kukubali
Mali kuna gap tutafight tuwe ndani
Jasho miaka mingi tumemwaga sasa basi
Mambo ku-hustle, takeover hustle
Moaka niwe billionaire I swear nita-hustle
Player Hater kibao ninao na wao ndio wanainingezea morale ya kusaka
Kuja na heshima ni hao dharao nililoonyeshwa kanifanya niwe mjanja zaidi
Yes sir
Ndio maana sasa nikipata hii money
Straight to the bank, back to the hustle for more money.

You cannot copy content of this page