DNA – Maswali Ya Polisi Lyrics

DNA – Maswali Ya Polisi Lyrics

Intro:
Hey,hey!!
DNA
Hey,hey!!
DNA
Hey,hey,hey,hey,hey!!

CHORUS LYRICS:
Una maswali mengi, kwani we ni polisi?
[we,we!]
Una maswali mengi, kwani we ni polisi?
[aah,we,wacha!]
Una maswali mengi, kwani we ni polisi?
[we,we!]
Una maswali mengi, kwani we ni polisi?
[aah,we,wacha!]

VERSE 1 LYRICS:
Sema msupaa*, naitwa Peter
Uko Facebook? Uko Twitter?
Umeokoka? Uko na sister?
Unapenda sembe ama pizza?

Sauti ya msupaa

Una maswali mengi, kwani we ni polisi?
Una maswali mengi, kwani we ni polisi?

Aki pole,umeboeka?
Kwani umejam?Basi cheka…
Kwani nanuka mdomo, sema!…
Kwani hutaki story zangu tena?

Sauti ya msupaa

Una maswali mengi, kwani we ni polisi?
Una maswali mengi, kwani we ni polisi?

CHORUS LYRICS:
Una maswali mengi, kwani we ni polisi?
[we,we!]
Una maswali mengi, kwani we ni polisi?
[aah,we,wacha!]
Una maswali mengi, kwani we ni polisi?
[we,we!]
Una maswali mengi, kwani we ni polisi?
[aah,we,wacha!]

VERSE 2 LYRICS:
Aai, buda!! Itakuwaje?
Siku mingi, umekuwaje?
Umechapa*, hauna kazi?
Uko solo, hauna manzi*?

Sauti ya boy

Una maswali mengi, kwani we ni polisi?
Una maswali mengi, kwani we ni polisi? eeh?

Basi pole, sina ubaya..
By the way, si una namba ya Faya?
Si unipee, nimvutie waya*?
Si naskia ana doo ile mbaya?

Sauti ya boy

Una maswali mengi, kwani we ni polisi?
Una maswali mengi, kwani we ni polisi? wee ni karao*? Aah!

CHORUS LYRICS:
Una maswali mengi, kwani we ni polisi?
[we,we!]
Una maswali mengi, kwani we ni polisi?
[aah,we,wacha!]
Una maswali mengi, kwani we ni polisi?
[we,we!]
Una maswali mengi, kwani we ni polisi?
[aah,we,wacha!]

VERSE 3 LYRICS:
Si wasee wako juu ya story yangu?
Si wasee wanataka mambo yangu?
Sawa, bora tuki meet, usiniulize vitu funny juu ntakushow

Sauti ya umati

Una maswali mengi, kwani we ni polisi?
Una maswali mengi, kwani we ni polisi?

Ati nini?
Siku gani?
Iko wapi?
Wacha mchezo!
Sema aki?
Doo ngapi?
Walalala, (kupiga mbinja), eyy!!

Sauti ya umati

Una maswali mengi, kwani we ni polisi?
Una maswali mengi, kwani we ni polisi?

CHORUS LYRICS:
Una maswali mengi, kwani we ni polisi?
[we,we!]
Una maswali mengi, kwani we ni polisi?
[aah,we,wacha!]
Una maswali mengi, kwani we ni polisi?
[we,we!]
Una maswali mengi, kwani we ni polisi?
[aah,we,wacha!]

OUTRO:
Hii ngoma ni kalii (eeeeh!)
Kali sana sana sana na imetoka…
Grandpa.
Ati waa?
Grandpa…
Ati waa?
Grandpa Records!!!

Hey! Hahaaa,yeeah…

Ati waa?
Grandpa.
Ati waa?
Grandpa…
Ati waa?
Grandpa Records!!!

You cannot copy content of this page