DNA ft. Ulopa – Let’s Go Lyrics

DNA ft. Ulopa – Let’s Go Lyrics

Intro
DNA
zero nine
niko watu wangu usijali
that plate is still mine
leave that plate there
OK, let’s go, twende

Chorus
Let’s go
twende kazi twende tutafute mali
twende mbele twende nyuma katikati
twende mbali wenye wivu ja-mani
kaa mbali tafadhali unanipeleka wapi

Let’s go
twende kazi twende tutafute mali
twende mbele twende nyuma katikati
twende mbali wenye wivu ja-mani
kaa mbali tafadhali unanipeleka wapi

ULOPA NGOMA!

Verse 1
Once again DNA kwenye nyumba
nilikuwa nimelala si kukufa
watu wangu nawape-pe-penda wo
nimerudi, nilienda wapi jo
twende mbele twende nyuma katikati
re-real hustler
bado niko kazi
wanawake nyako
huwapendi hupendi nyanyako
Mr. Jelimo
juu nikipewa track
natoka mbio
unanichukia bure ntaku-show
mi ni number one
wewe mwisho
ka Jelimo
hapo mwisho
nita-celebrate
hata waki-hate
nimetoka mbali kama Koffi Annan
na kama Toroitich I’m done

Chorus
Let’s go
twende kazi twende tutafute mali

twende mbali wenye wivu ja-mani
kaa mbali tafadhali unanipeleka wapi

Let’s go
twende kazi twende tutafute mali

twende mbali wenye wivu ja-mani
kaa mbali tafadhali unanipeleka wapi

Verse 2
Big money in the family
ma-boys mtaani wako hustling
mafala hawataki sisi tu-suceed
instead wanataka tuwe six feet deep
wanachukia
wanachukia kutuona tuki-shine
wanachukia
wanachukia
wanachukia kutuona tuki-shine
nimetoka far na naenda mbele
nimetoka far ka Blue Band ya mkebe
tukiumia wanaskia starehe
kwenda huko si ni wa-deadly
niki-shine ngoja uone
all of a sudden watakuwa mabeshte
ha…ishia nani
hukunipenda usinipende saa hii

Chorus
Let’s go
twende kazi twende tutafute mali
twende mbele twende nyuma katikati
twende mbali wenye wivu ja-mani
kaa mbali tafadhali unanipeleka wapi

Let’s go
twende kazi twende tutafute mali
twende mbele twende nyuma katikati
twende mbali wenye wivu ja-mani
kaa mbali tafadhali unanipeleka wapi

Verse 3
Ngoja ngoja huumiza matumbo
wanataka ni-hustle waingize kwa tumbo
zao wao how now
kwani nakaanga bow wow
funny kama Churchill
kunitoanisha, hiyo task ni uphill
wee D hii ni party track
OK sawasawa
the party’s back
twende mbele
twende nyuma
katikati
hiyo safi
walisema hatuwezi make it
lakini tuli-dare so we’re miracle babies
twende mbele
twende nyuma
katikati
hiyo safi
wacheni niende
na nadhani tutakutana mbele

Chorus
Let’s go
twende kazi twende tutafute mali
twende mbele twende nyuma katikati
twende mbali wenye wivu ja-mani
kaa mbali tafadhali unanipeleka wapi

Let’s go
twende kazi twende tutafute mali
twende mbele twende nyuma katikati
twende mbali wenye wivu ja-mani
kaa mbali tafadhali unanipeleka wapi

You cannot copy content of this page