Dj Josh – Kanyaga Lyrics

Chorus
Tunamkanyaga, tunamkanyaga, tunamkanyaga, kanyaga, kanyaga, kanyaga,
Shetani akija, sote tuko tayari,
Shetani akija, sote tuko tayari,
Shetani akija, sote tuko tayari,
Shetani akija, sote tuko tayari,
Tunamkanyaga, tunamkanyaga, tunamkanyaga, kanyaga, kanyaga, kanyaga,

Verse 1
Katika matembezi duniani, yesu nimemtia maanani,
Nikikosa namuomba samahani,
Mimi sitamfuata shetani,
Anasa na mengi yakuona, jina lake yesu linaponya,
Waganga wachawi, nyie nawaonya, fungueni macho mpate kuona,
Shetani apaswa kukanyangwa, piga nduru kama yesu ndiye wafuata,
Cheza helicopter kama hauna matata,
Mtu wa Kristo ndiye manyanga,
Mimi nimekuja kumwakilisha,
Shetani,Ukiwa ndani ya Kristo hawezi kuwatisha,
Na jambo la mwisho na dhibitisha, Yesu ndiye Mwamba sasa kazi kwisha,

Chorus
Tunamkanyaga, tunamkanyaga, tunamkanyaga, kanyaga, kanyaga, kanyaga,
Shetani akija, sote tuko tayari,
Shetani akija, sote tuko tayari,
Shetani akija, sote tuko tayari,
Shetani akija, sote tuko tayari,
Tunamkanyaga, tunamkanyaga, tunamkanyaga, kanyaga, kanyaga, kanyaga,

Verse 2
Sifa zote zienda kwa mungu baba, hii ni vita shetani tunamtwanga,
Sio kizisho, kwa wanadada, ni kwa maombi ndio tunamkanyanga,
Tumsifuni bwana ametenda mema, kanipa rehema,
Mimi sina cha kusema,

Kama wa fahamu anakupenda, rusha hizo mikono kwenye hewa,
Dhambi zote tume sha samehewa, Baraka zetu zote tusha pewa
Kama wa fahamu anakupenda, rusha hizo mikono kwenye hewa,
Dhambi zote tume sha samehewa, Baraka zetu zote tusha pewa

Chorus
Tunamkanyaga, tunamkanyaga, tunamkanyaga, kanyaga, kanyaga, kanyaga,
Shetani akija, sote tuko tayari,
Shetani akija, sote tuko tayari,
Shetani akija, sote tuko tayari,
Shetani akija, sote tuko tayari,
Tunamkanyaga, tunamkanyaga, tunamkanyaga, kanyaga, kanyaga, kanyaga,

Vesre 3
Rafiki sikiza siri, ka unataka bado akubariki,
kama unataka kuepuka dhiki, usikubali ya huyo ibilisi,
jehenamu sio kama kiberiti, moto ya milele hiyo si hadithi,
ukristo sio tu juma pili,
Yesu ni kila siku ya wiki,
Yesu ata rudi aki meremeta,
Furaha na maisha mapya ataleta,
Hukumu itakuja na tarumbeta,
Shetani atarushwa kwenye shimo lake,

Bridge
Kwa hiyo tunamkanyaga, tunamkanyaga, kanyaga, kanyaga, kanyaga,

Twende kushoto, twende kulia, twende mbele, twende nyuma,
Sasa yesu, fariji,
Sasa yesu, inua,
Sasa mwokozi, twende,
Tunamkanyaga, tunamkanyaga, tunamkanyaga, kanyaga, kanyaga, kanyaga,

Chorus
Tunamkanyaga, tunamkanyaga, tunamkanyaga, kanyaga, kanyaga, kanyaga,
Shetani akija, sote tuko tayari,
Shetani akija, sote tuko tayari,
Shetani akija, sote tuko tayari,
Shetani akija, sote tuko tayari,
Tunamkanyaga, tunamkanyaga, tunamkanyaga, kanyaga, kanyaga, kanyaga,

You cannot copy content of this page