DJ Enruff & The Union Superheroes (Nick Dogg, Opips, Killa Styles, Calvo Mistari & Geedruff) – Nani Huyo Lyrics

Verse 1 (Nick Dogg)
akaskia the rush
akaskia mishumaa
akaskia chini chini 
akajua mi ni star
akaanza kuniulizianga kwa mtaa
ni vipi na huo msee huwa ameng’aa
akienda hepi juu chini amevaa
akaambiwangwa jo
total balaa
Nick Dogg yaani jina kubwa Mada
huwanga na madame kama ma-drinks kwa bar
na akishadishi ye huwanga masaa
heart breaker anakuwacha kwa mataa
yup… the most dangerous jamaa
ni ka kuongeza mafuta taa kwa makaa
na anapenda class, si hoodrat wa mtaa
dame ametulia, si ule ana mang’aa
dame amebeba five kgs kwa bra
dame anakaa ni pampers amevaa

Chorus (Opips)
huyo ni nani
kijana chipukizi
mistari mikali
na flow pia ni kali
eti nani, nikute maskani
mtaani huko ndio maskani

ma-superhero ndio nani
na anauliza eti huyo ni nani
nani huyo, nani huyo
nani huyo, nani huyo
ahaa

Verse 2 (Killa Styles)
so she heard about the boy
heard alot about the boy
coz all her girlfriends talk alot about the boy
so she heard some things, alot of which aren’t true
but no matter what they say, she still thinks I’m cute
and she still wants to ride
wants to see what it’s like
wants to hang with the killer, spend a day in the light
now she wants to be my girlfriend
wish we could be an item
but Killa don’t wife ’em
I just one night ’em
I know she don’t like it
that’s the way that I is
and I isn’t really trying to find me a wife
it’s just something in my blood that won’t let me settle down
living in the fast lane and I put the metal down
but she’s hoping she could change me
maybe rearrange me
friends say she’s crazy
but she keeps saying maybe
one day soon I’ll come around back to her
yeah that day came soon and I ran right through her

Chorus (Opips)
huyo ni nani
kijana chipukizi
mistari mikali
na flow pia ni kali
eti nani, nikute maskani
mtaani huko ndio maskani

ma-superhero ndio nani
na anauliza eti huyo ni nani
nani huyo, nani huyo
nani huyo, nani huyo
ahaa

Verse 3 (Calvo Mistari)
niliitwa tu Superhero
Nruff kanipea powers mi nduthe
beat na kicks mi katikati yule
snare na tweeter mi nishapenya shule
wee ni Calvo the lyrical assassin
the superhero bad boy kijana mistari
well that’s me kijana wa mtaa
mi hucheza tu na thong kama string kwa guitar
mi hupewa vitu moto kama water heater
mi huwanga nikichill mi huitwangwa tu shujaa
dame ka wee na boy ka mi
ni ka sheng nare kwa mtaa ka hii
ikibamba mistari na track kazi
ku-drive tu magari kwa mortuary
I’m the boy you wanna call papi
I’m the dog you wanna bust
woof, woof!

Chorus
huyo ni nani
kijana chipukizi
mistari mikali
na flow pia ni kali
eti nani, nikute maskani
mtaani huko ndio maskani

ma-superhero ndio nani
na anauliza eti huyo ni nani
nani huyo, nani huyo
nani huyo, nani huyo
ahaa

You cannot copy content of this page